Mwigulu: Sijawahi kuwasiliana na Dkt. Emmanuel Nchimbi kwa e-mail tangu nizaliwe

Yaani na wewe mbeba sumu watu wanataka attention yako wakati wewe mwenyewe unatafuta attention ya mama junior?
 


Ha ha ha

Mla dengu na mbaazi tuh huyo,wa kupuuzwa na kuhurumiwa
 

Wewe na Mwenzio Hamisi Mtundi mzamiaji wa USA Wasifu wangu hamtaufikia hata mngeamua kurudi shuleni upya,

Mimi ninaajiri sehemu ya kundi kubwa watanzania wenzangu, sijui nyinyi hata kuajili house girl tu inawezekana?
 

these are mere words, gat no back ups.. anyone can post, considering anonymity.. bdo sijaona facts zenu!
 

Tangu umenijua?Umenijulia wapi wewe?Pitia post zangu zote kuanzia ya January 18,2007.

Kwanza ulichoandika hapa kinaonyesha jinsi unavyoilea familia yako.Sidhani hata kama unajua majukumu ya mzazi kwa familia zaidi ya kuwalisha watoto vyakula vilivyokosa virutubisho ukidhani unawalisha watoto.

Maana nilitegemea uonyeshe common sense na busara za mtu aliyekomaa .Hilo la Elimu ya Darasani tuachane nalo kwanza.Hebu soma ulichoandika na upitie post zako zilizopita ujitafakari kama unastahili kuitwa mzazi wa familia ambayo ni Decent.

By the way fikra zako hizi zinakutosha ku-struggle na familia yako tu not beyond

Angalia usije ukadhani mrafi wa shule za kata utakufanya nawe ujigambe hadharani kuwa unasomesha watoto vizuri.Tutakapoanza kujadili kwa kina sera ya elimu usogee karibu halafu upime kama ndicho familia yako inachostahili
 
Ha ha ha,,

Chama huyu jamaa ni pimbi sana haki ya mungu,,

Ha ha ha,dah maajabu hayaishi JF....

Uandishi wako na chama unaonesha ninyi bado ni vijana wadogo sana, tena ndo mmemaliza elimu mliyonayo hv karibuni.. kama ndivyo basi mnapotea sana, mmejaa uoga, hamna uthubutu wa aina yeyote! If otherwise disclose urself once u attack a verified member!!
 
Wewe na Mwenzio Hamisi Mtundi mzamiaji wa USA Wasifu wangu hamtaufikia hata mngeamua kurudi shuleni upya,

Mimi ninaajiri sehemu ya kundi kubwa watanzania wenzangu, sijui nyinyi hata kuajili house girl tu inawezekana?
Wewe mpiga lipu utamuajiri nani.
 
Muuaji siku zake zinahesabika lazima atailipa damu ya watu mpaka tone la mwisho
 
Ha ha masalia bwana waoga kama nini huwa wanapenda kuingia kwenye JF saa sita mpaka nane watu wamelala wanapost wanajijibu lakini ukweli mumechelewa POST 600 -KATI YA HIZO zinasema Mwigulu muuaji,mfitini,chinja chinja wanema atakufa vibaya zaidi ya mabina na yupo anayesema Nchimbi na Mwigulu tarehe 27 December 2013 anawapeleka mahakamani masalia mutajitahidi kumkngia kifua lakini kwa thread aliyoianzisha Mwigulu immnoga mwenyewe kakimbia jamvi
 
Wewe mpiga lipu utamuajiri nani.

Ha ha as if kupiga lipu ni dhambi unataka abebe mabomu mikononi kama wanajidai wameshika Tanzania mkononi ona anavyoadhirika kufurahia kuua kwenye email da laana damu ya Mvungi wananchi Igunga Arumeru haiendi bure Mwigulu asijitee kwa waraka mwepesi
 

Chozi la huyu mama wa kiholanzi lilidha mlaani huyo Hamisi Mtundi na hao wanawake wawili huko Banana wameshamtolea radhi
 
Kamanda upo gongo mbona sielewa unachoandika.
 
Wewe na Mwenzio Hamisi Mtundi mzamiaji wa USA Wasifu wangu hamtaufikia hata mngeamua kurudi shuleni upya,

Mimi ninaajiri sehemu ya kundi kubwa watanzania wenzangu, sijui nyinyi hata kuajili house girl tu inawezekana?
Hilo ndio jibu kwa tapeli la gesi haitoki attention seeker mama ao na daa zao walibakwa na kusokomezwa majiti sehemu za uke wanaume wakapigwa mijeledi wakati watu walikuwa wanadai haki yao lenyewe limepewa book 7 lumumumba fyonza club basi kalegea anaongea utumbo haijapata kutokea ni moja wa washusha hadhi JF
 
Kamanda upo gongo mbona sielewa unachoandika.
utaelewa wapi ulisha jizira zamani pamoja na kaka yako tumbo moja na wewe kumwagiwa tindikali na chombo chake cha habari kufungiwa mwaka lakini bado unajikomba Lumumba book 7 hiyo ndio aina ya gongo unayokunywa
 
utaelewa wapi ulisha jizira zamani pamoja na kaka yako tumbo moja na wewe kumwagiwa tindikali na chombo chake cha habari kufungiwa mwaka lakini bado unajikomba Lumumba book 7 hiyo ndio aina ya gongo unayokunywa
Wewe ni usajili wa dirisha dogo pale Ufipa, Gongo FC naona unaandika pumba za maana.
 

Sijawahi kuwa mlamba viatu vya mtu hata siku moja,hiyo elimu yako ya dengu imekusaidia nini zaidi yakupiga majungu tu pale ufipa?
Msomi gani aliyeshindwa kujitegemea na kusimama mwenyewe? Umekaa kutumwa kama house Boy kulamba viatu vya kina Mbowe ndio mwisho wa elimu yako?
 

Duh.... Kumbe!!!!!

Kweli Taifa litajengwa na węnye moyo.
 
Vipi tunasikia vijana wenu wamekamatwa na mabomu huko Tanga tayari kwa ajili ya kulipua makanisa leo na kesho....

Angalia ugaidi wenu wewe na MS utawagarimu...

Dah unamaanisha wanataka kwenda kupiga lipu makanisa? sasa hicho si kitu chema kabisa, au wewe unaonaje? Mimi nakukaribisha uje "kulipua" Msikitini utakuwa umefanya la maana, maana kuna misikiti mingi inahitaji kupigwa lipu.

Mradi usiripue tu.

=utawagharimu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…