Mwigulu: Sijawahi kuwasiliana na Dkt. Emmanuel Nchimbi kwa e-mail tangu nizaliwe

Mwigulu: Sijawahi kuwasiliana na Dkt. Emmanuel Nchimbi kwa e-mail tangu nizaliwe

Naona huu uzi umefufuliwa kwa mkakati wa kumsafisha dikteta uchwara.

Uzi wa mwisho alioandika Ben Saanane ndio unaeleza sababu hadi kupotea kwake.

Kuna namba zilimtumia message za vitisho na akawasilisha tishio hilo polisi na hatujawahi kusikia majibu ya polisi .

Pia member wengine wakamtisha huku mmoja akisema kabisa Ben akiendelea kuandika atajikuta yeye pekeyake na chatu.

Thread 'Ben Saanane: Ninatishwa kuuawa kwa kuikosoa Serikali' Ben Saanane: Ninatishwa kuuawa kwa kuikosoa Serikali

Am not going to buy this narrative.
Mwanasiasa mlipa kisasi hujipenyeza kwenye mwanya wa msuguano na mtu mwingine anatekeleza uharifu wake lakini kwa kuwa msuguano uliopo kwenye akili za watu muda huo ikidaiwa yule anayezozana naye ndiye kamfanyia watu huamini haraka, lakini ukichimba kwa ndani zaidi kwa kukusanya taarifa mbichi na kuzitathimini (raw data collection/information + evaluation of facts) makes the information added with fantastic value thereby known as 'intelligence'.
After weighing the substantiated facts 'intelligence analysis' as outlined below
1. The raw data of any type (information) is collected the way they are followed by
2. The collected information is added with valuable/significant recipes after verifying its credibility and source reliability qualifying to be rated 'intelligence';
3. The intelligence is analyzed by verifying the component of info, digging out the source of info, and establishing the proof of its existence and credibility
 
Kwahiyo unaamini Mwigulu ndio alimpoteza huyu bwana mdogo??
 
Kwahiyo unaamini Mwigulu ndio alimpoteza huyu bwana mdogo??
Mwigulu muda wote anavaa bendera ya Tanzania, this is good pia ni ishara ya tahadhari

why Mwigulu anaogopwa hata na akina Kikwete na kundi lao, that guy seems to more than what we see him, kwenye maisha yako ogopa mtu asiyeongea, what special mwigulu has, hadi kimfanye awe waziri mwandamizi?
 
Upo sahihi.
 
Hili swali ghafla leo limenirudia tena.
What is special about Mwigulu aka Savimbi?
Maana hata mpige kelele vipi atawajibu muende Burundi na huyo "mama" atajikunyata pembeni kama anasikia baridi!
Ila zamani JF kulikuwa na mijadala safi, no matusi wala kejeli.
 
Walichofanya hawa vijana ni kutupa jiwe gizani bahati mbaya limemgonga mpita njia…let’s continues! 🧐
 
Ndg wana JF salaam?

Nimelazimika kuja hapa kuweka jambo hili sawa. Nimeona uzi unaoongelea kuwa mimi na mhe Nchimbi tumewashitaki vijana hao waliojitaja kwa kuingilia mawasiliano. Naomba kuweka wazi kuwa

1) Sijawahi kuwasiliana na mhe Nchimbi kwa E mail hata siku moja tangu nizaliwe.

2) Sijapeleka lalamiko la mambo hayo polisi wala vyombo vyovyote vya dola wala vya habari

3) E mail ilibandikwa ikionesha mimi nawasiliana na Nchimbi wala sio e mail yangu wala haijawahi kuwa e mail yangu.

4) Sikuwa hata na sababu ya kuwasiliana na Mhe Nchimbi kwa E mail kwakuwa muda mwingi tuko wote bungeni, kwenye vikao vya chama na mjini.

Inawezekana ni kweli vijana hawa wameitwa polisi, basi kama ndivyo, watakuwa wameitwa kwa kutengeneza e mail kwa majina ya viongozi, kutunga ujumbe wao na kutengeneza kama vile viongozi wamewasiliana na kuusambaza kwa lengo baya la kutaka kuchafua taswira za viongozi mbele ya umma. Hii ni tabia mbaya kabisa na vijana wa aina hii ni mizigo kwa Taifa.

Naunga mkono polisi wafuatilie uzushi na ujinga huo wa watu kutengeneza e mail bandia, mawasiliano feki na kusambaza kama ndio mawasiliano halali ili umma upokee matope waliopanga kupakazia viongozi. e mail yangu iko kika mahali kwenye business card zangu.

Nalaani kitendo chao cha kubandika e mail batili, mawasiliano batili na kusambaza kwenye mitandao, nalaani pia kwa kutokuwa wakweli kama wameitwa kwa kuandaa e mail feki na mawasiliano feki wanakuja huku kuripoti kuwa wameingilia mawasiliano. yapi? Sio e mail yangu, wala sijawahi kuwasiliana na Nchimbi kwa e mail. E mail yangu inafanya academic issues, nawasiliana na supp wangu wa PhD na wanazuoni wengine kwa academic issues.

Ben, look at you?

MAJIBU ya BEN SAANANE
🤣
 
Back
Top Bottom