THE BIG SHOW
JF-Expert Member
- Feb 28, 2012
- 16,950
- 13,527
Mimi msomi mzuri sana naishi matunda ya elimu yangu siishi kwa kulamba ------ watu; hivi wewe kwa akili hukujua kama chuo kile ni cha uchochoroni?? unalo hilo cheti kichambie hakikusaidii kimaisha wala kifikra! tena una bahati sana ishukuru CCM; mimi nimesoma mwenyewe kwa gharama zangu nimetumia zaidi ya US 50,000; sitaishi kwa kuramba ------ mtu wala sina mpango wa kuajiriwa na CCM wala serikali yake.
Ha ha ha,,
Chama huyu jamaa ni pimbi sana haki ya mungu,,
Ha ha ha,dah maajabu hayaishi JF....