Mwigulu: Sijawahi kuwasiliana na Dkt. Emmanuel Nchimbi kwa e-mail tangu nizaliwe

Mwigulu: Sijawahi kuwasiliana na Dkt. Emmanuel Nchimbi kwa e-mail tangu nizaliwe

Mimi msomi mzuri sana naishi matunda ya elimu yangu siishi kwa kulamba ------ watu; hivi wewe kwa akili hukujua kama chuo kile ni cha uchochoroni?? unalo hilo cheti kichambie hakikusaidii kimaisha wala kifikra! tena una bahati sana ishukuru CCM; mimi nimesoma mwenyewe kwa gharama zangu nimetumia zaidi ya US 50,000; sitaishi kwa kuramba ------ mtu wala sina mpango wa kuajiriwa na CCM wala serikali yake.

Ha ha ha,,

Chama huyu jamaa ni pimbi sana haki ya mungu,,

Ha ha ha,dah maajabu hayaishi JF....
 
wewe tedo; ongea habari nyingine hii Chama imekuzidi umri!

Naona unakuwa kichwa ngumu kuelewa...Nimekuambia hivi; ikiwa unataka tukuone wewe ni msomi wa US toa hoja za kisomi ku-support unachoongea......Mbali na hapo wewe si msomi.....Ni mropokaji tuu.....Unajisifu tuu kumbe huna lolote....

Nyie ndio mnaojosifu mko nje ya nchi ila mkirudi huku mnakuta watu mliowaacha wamewapiga gap mnabaki na stress kika siku....Le Mutuz yupo wapi sasa hivi...Zee zima lipo kaa li toto....

Toa hoja tukuone wa maana sio majisifu eti umesoma US.....Watu wamesoma zaidi yako wewe ila hawaoni ishu kutaja maeneo waliyosoma..

Unahasara wewe kama si laana...
 
Last edited by a moderator:
Mimi msomi mzuri sana naishi matunda ya elimu yangu siishi kwa kulamba ------ watu; hivi wewe kwa akili hukujua kama chuo kile ni cha uchochoroni?? unalo hilo cheti kichambie hakikusaidii kimaisha wala kifikra! tena una bahati sana ishukuru CCM; mimi nimesoma mwenyewe kwa gharama zangu nimetumia zaidi ya US 50,000; sitaishi kwa kuramba ------ mtu wala sina mpango wa kuajiriwa na CCM wala serikali yake.

Njoo na jina lako halisi hapa tufuatilie chuo ulichosoma

Sina muda wa kujadiliana na watu wanaosumbuliwa na inferiority complex

Sina cha kuwasaidia zaidi ya kuwashauri mkamuone mtaalamu wa saikolojia.Badala ya kujadili hoja mnakuja na mipasho ya kitoto hapa?

We should leave this gutter politics for uninformed and the stupid !

Otherwise,Jenga hoja kisomi na sio maneno kama walevi hapa mkitegemea attention kutoka kwangu.
 
Kiapo cha magamba ni kuwa nitasema kweli daima fitina kwangu mwiko, je wanazingatia?

Hicho washakisahau wanachojua na kuzingatia ni tumechoka,liwalo na liwe na wapigwe tu.
 
Mkuu hapo kwa Ben Saanane ni athari za dengu na mbaazi! hivi kwa vyeti anavyoonyesha kama angekuwa amesoma vyuo vya maana angehangaika na maisha leo hii?? kaa chini uyafikirie kwa makini!

Haki ya mungu anasikitsisha sana,

Ukiona hivyo ujue kweli alikuwa anashindia dengu,mtu mwenye cv kama ile hawez kuwa maskin wa maisha na akili kama huyu jamaa,

Haiwezekani hata kidogo,jamaa ni boya sana na ni mtupu sana kichwani,nashangaa kuna vilaza wenzake wana mpa credits za kijuha na yeye kuamin kuwa yuko smart,ni mtu wa kuhurumiwa tuuh
 
Tatizo mwigulu huaminiki na wewe ndio unaongoza kwa uchochezi wa mambo mbalimbali hasa ya kisiasa,yaani huwa ni mtu wa kukurupuka kama mwehu,embu jihadhari sana na kauli zako,uwe unafikiria kwanza ndipo uongee,Tumia hekima
 
Nyinyi watu wa lumumba tumeshawazoea kwakukanusha mtakuja kukana mpaka wake zenu hata haya hamna
 
Naona unakuwa kichwa ngumu kuelewa...Nimekuambia hivi; ikiwa unataka tukuone wewe ni msomi wa US toa hoja za kisomi ku-support unachoongea......Mbali na hapo wewe si msomi.....Ni mropokaji tuu.....Unajisifu tuu kumbe huna lolote....

Nyie ndio mnaojosifu mko nje ya nchi ila mkirudi huku mnakuta watu mliowaacha wamewapiga gap mnabaki na stress kika siku....Le Mutuz yupo wapi sasa hivi...Zee zima lipo kaa li toto....

Toa hoja tukuone wa maana sio majisifu eti umesoma US.....Watu wamesoma zaidi yako wewe ila hawaoni ishu kutaja maeneo waliyosoma..

Unahasara wewe kama si laana...

Kwani, huyu Le Mutuz si ndio lile lijamaa kwenye ile picha ya After school bash, lenye Umbo la Mirembe? Maana maumbo kama yale huwa nayaona sana kwa wale wagonjwa eti wanasema ni kwasababu ya kupewa sana madawa ya magonjwa ya akili. Hata hivyo lile jamaa si lizima, wacha tu Livingstone Lusinde awaburuze na familia yake.
 
Mwigulu Nchemba ni bomu la taifa..... baada ya kushindwa kujenga CCM madhubuti amekalia kutafuta uchawi wa kuuwa upinzani.... shame on you!
 
Njoo na jina lako halisi hapa tufuatilie chuo ulichosoma

Sina muda wa kujadiliana na watu wanaosumbuliwa na inferiority complex

Sina cha kuwasaidia zaidi ya kuwashauri mkamuone mtaalamu wa saikolojia.Badala ya kujadili hoja mnakuja na mipasho ya kitoto hapa?

We should leave this gutter politics for uninformed and the stupid !

Otherwise,Jenga hoja kisomi na sio maneno kama walevi hapa mkitegemea attention kutoka kwangu.

Ben usihangaike na watu wanaojinasibu na elimu unaweza kuta ni machinga wa pale complex
 
And then unakuwa kibaraka wa Dr Slaa na Mchumba wake kuja kuwa msemaji wao??

You are nobody but A HOUSE NEGRO...!!

Unaona ulivyokosa la maana la kuandika? Kubali huyu jamaa anawazidi mbali sana kwa hoja.. Kuweka cv yake tu, umejikuta unamuunga mkono..
Huna sehemu ya kumkamata!
 
Mh, Mwigulu Mchemba hakika siamini kama kweli utetezi wako juu ya kadhia hii uko sahihi! maana kama ni vitendo vya ukatili na unyama kwa watanzania wenzako bila kuisi hata chembe ya uruma umevifanya kwa muda mwingi sana. Hivyo kwa tunao fuatilia vitendo vyako hatuwezi kukutenganisha na mateso,mauaji,ukatili,mabomu,risasi na hujuma dhidi ya wapenda demokrasia siyo tu wapinzani bali hata chama chako ccm wale unao waona wanaweza kukubalika zaidi yako umekuwa mkatili dhidi yao!!Sasa jitathimini mwenendo yako uone je unatofauti ipi na Id amini ua Hitler!!!Inasikitisha kijana mdogo unakuwa mkatili kiasi hiki nakusihi japo kwakiasi jaribu kukaa jitafakari siasa siyo kufanya visasi na mauaji!!?
 
Hapa najaribu kujiuliza ingekuwaje kama picha ya mauaji ya Mwangosi isingepatikana kuthibitisha kwamba alilipuliwa na polisi kwa amri ya RPC aliyehakikisha anashuhudia mwenyewe kwa macho yake hicho kifo ili aweze kutunza mkate wake. Kweli RPC huyo baada ya kutekeleza kwa vitendo akazawadiwa cheo kikubwa zaidi na serikali ya CCM. Nakumbuka spin za msemaji wa polisi kuhusu kitu alichodai kurushwa kutoka upande wa wapenzi wa Chadema na kumlipua marehemu!

Swali hapa ni je ushahidi kama huo usingepatikana hivi leo Chadema ingekuwa wapi? Wangapi wangekuwa jela kwa kubambikiziwa kesi ya mauaji ya Mwangosi? Je Chadema ingesalimika? Lakini Mungu si athumani, uovu wa serikali ya CCM ukaanikwa mchana kweupee! Ajabu ni kwamba kuna Watanzania hadi leo wanaiamini hii serikali dhalimu...binadamu ni wa ajabu kweli kweli, wameshasahau! Eti the Mwigulus, the Ighondus, the Msangis na wauaji kibao ndani ya serikali bado tu wanapeta.
 
Hizi akili zenu za kutumiwa kama toilet paper wakati mwingine jaribuni kuzitumia Mwigulu Nchemba amuue Dr. Mvungi ili iweje? Hebu tufafanulie ni jambo gani kubwa ambalo Mwigulu Nchemba atanufaika nalo?

Kwani aliyempiga risasi na kumuua padri Evarist kule Znz alinufaika na nini?
kuwa na logical criticism basi!
 
Last edited by a moderator:
Njoo na jina lako halisi hapa tufuatilie chuo ulichosoma

Sina muda wa kujadiliana na watu wanaosumbuliwa na inferiority complex

Sina cha kuwasaidia zaidi ya kuwashauri mkamuone mtaalamu wa saikolojia.Badala ya kujadili hoja mnakuja na mipasho ya kitoto hapa?

We should leave this gutter politics for uninformed and the stupid !

Otherwise,Jenga hoja kisomi na sio maneno kama walevi hapa mkitegemea attention kutoka kwangu.

wewe mganga njaa Ben Saanane ninachotaka kuhakikishia shule nimepiga tena ya nguvu siishi yangu kwa kuitegemea CCM; Mwigulu Nchemba wala Nape Nnauye; hebu njoo jamvini useme kama wewe huishi mjini kwa kutegemea mabwana zako wa Chadema akina Mbowe na Dr.W.Slaa; you are damn and naive; that all I can tell you! you can't touch this baby! You are just a coward it will be a shame for me if I call a primitive like you a politician!
 
The world is turning around,
Yesterday becomes tomorro when lies are said to be the truth and truth is said to be lies.

No truth in this world, like a preacher in church who preaches until tears run down his face, but when the sun goes down, He is the hooligan and witch.

Hii dunia sio nyumbani kwetu sote tunaputa tu, utakuwa mbabe huwezi kuwa mbabe kwa kila kitu Mwigulu Nchemba, kila li lilo baya chanzo ni wewe kwa nini!

Kama kunayeyote aliyenyuma yako kuyafunika maovu yote unayotuhumiwa nayo basi mwisho utafika hakuna kweli chini ya jua midomo ya watu husema sana juu yako.

Kwahili mbora hata usingekuja hapa jukwaani kusema hayo maneno yako haya msingi wowote zaidi ya kutaka kujisafisha hakijipanga ni vyema unge kaa kimya tu.

Macho yanaona unachokifanya na kukiratibu kila siku juu ya binadamu wenzako, huna haki ya kuhuku binadamu mwezako bali muumba pekee.

Masikio yanasikia kila unapotajwa kuhusika na maovu juu binadamu wenzako, Ongea na nafsi yako utakana kila kitu lakini hauta ubadilisha ukweli njia yetu ni moja tu.
 
Last edited by a moderator:
Ha ha ha

NDIO KWA MAANA Dr.W.Slaa ana mtumia huyu jamaa kama kikaragosi chake aisee,,

DENGU MBAYA SANA,MIAKA YOTE HIYO MTU ANASHINDIA DENGU TUH??

Hatari sana

Big wikness.. where is the point here.. or u thought we are in chit chat forum?
 
Last edited by a moderator:
Njoo na jina lako halisi hapa tufuatilie chuo ulichosoma

Sina muda wa kujadiliana na watu wanaosumbuliwa na inferiority complex

Sina cha kuwasaidia zaidi ya kuwashauri mkamuone mtaalamu wa saikolojia.Badala ya kujadili hoja mnakuja na mipasho ya kitoto hapa?

We should leave this gutter politics for uninformed and the stupid !

Otherwise,Jenga hoja kisomi na sio maneno kama walevi hapa mkitegemea attention kutoka kwangu.

Mimi sijasoma hata chuo kimoja,lakini elimu yangu hii ndogo imenisaidia kusimama kwa maisha yangu vizuri,watoto wangu wanakwenda shule bila tabu
Lakini wewe unaejiita Msomi usio na mbele umekuwa kama bendera kufata upepo tu,
Toka nimekujua haa jf sijawahi kuona unapinga neno la Mbowe wala slaa,hata wao wanajua wewe ni zombie Lao pamoja na Yule mtoto wa nje wa nyerere nyinyi vilaza sijapata kuona,
Najua mnaishi kwa migogoro pale ufipa unadhani ikiisha migogoro pale mtaishi vp mjini? Kweli India ulikwenda kula dengu na parata tu wewe hakuna ulichoongeza kichwani
 
Back
Top Bottom