Lokissa
JF-Expert Member
- Nov 20, 2010
- 7,445
- 2,500
siwezi kukupinga au kukubali
cha muhimu tuwe na strong evidence on both sides.
kutukana haisaidii,You are defending Mwigulu and Nchimbi thats right
and at the same time you are accusing Ben as the mastermind of the said content.
usichojua ni kuwa hili suala halihitaji kutoka povu.
tunahitaji ushahidi kamili..
Kama una evidene kuwa Ben ana ID zaidi ya moja weka hapa
na pia kwa wale ambao wana evidence Mwigulu ana ID zaidi yamoja waweke hapa.
Tunachotaka hapa sio threats,tunataka ukweli ujulikane na tuwe na ushahidi wa kitaalamu.
I cant held Mwigulu as gulity or Ben as innocent,
we still need evidences to prove their status....
Huyo Adil kwanini asingefanya siku nyingi utaalamu huo bila hata kumwita Ben?
Ni kesi ngapi za cybercrimes nk ziko pendding hadi leo kisa hakuna wataalamu??
na kwanini hadi leo hao watajwa hawajahojiwa to mean Mwigulu na nchimbi? wote ni accused...
Si ndio Tanzania pekee mtu hupelekwa mahakamani bila evidence yoyote na baadae kesi kufutwa for lack of evidence? kwa vile watanzania hawajui haki zao jeshi la polisi wanatakiwa kuwalipa kwa kuwapoteza muda wao kama wakifungua civil suits against the government.
Ujinga huu utakwisha.

amini nawaambia, ben and the group are all behind this.
inatakiwa akili kidogo tu kuuelewa mchezo....
baada ya kukamilisha kazi yao(kwa malengo wanaoyajua wao) ya ku-create fake IDs na kujitumia ujumbe, wakaamua kuzivujisha kwenye mitandao ili waone athari zake as planned.
walipigwa na butwaa kuona kwamba wahusika(naanisha majina yaliyotengenezewa IDs) hawababaiki then stering wa movie BEN SAA8 akaamua kuwatumia sms ili kuwa-provoke.
hata mpelelezi wa kiwango cha chini kabisa atamuhusisha moja kwa moja Ben na huu upuuzi, alishindwa kuvumilia matokeo Hasi ya mpango wao akaamua kuji-expose blindly kwa kujifanya ana act smart kwa kuwatumia hao akina nchemba email.
personally, i can penetrate in to any computer, website and admistrated system any time at my will. apart from US EMBASS and WFP systems which are well protected, the rest of the systems,computers and websites in tanzania are more than 79% vulnarable to attacks and penetration.
ni rahisi ku-trace route flow ya information kutoka kwenye computer yoyote mpaka destination point huku trace routing ikionyesha IP ADRESSES za kila computer na majina ya computer husika.
na anayejidanganya kuwa eti hao wataalamu hakuna ndani ya jeshi la polisi!! aende polisi makao makuu akaulizie kichwa kimoja adimu kinachojulikana kwa jina la ADILI,,
Wajinga nyie watoto, tuko tayari tupunguze shughuli zetu za ujenzi wa taifa ili tupate muda wa ku-deal na nyie,,,,,,
we will never leave our country to pathetic DOGS