Mwigulu: Sina heshima na wanaharakati hata kidogo na sijali, ni wahalifu wa nchi hii

Waufukweni

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2024
Posts
5,383
Reaction score
18,776
Waziri Mkuu Dkt. Mwigulu Nchemba, akiwa ziarani Mkoani Mara, Julai 1, 2026 amewatolea uvivu wanaharakati mbalimbali nchini kwa kuweka wazi kuwa hana heshima nao hata kidogo na wala hajali kuhusu harakati zao.

"Sasa kama hao wana harakati, wana harakati hawa, mimi sina heshima nao hata kidogo, na wala hata huwa sijali. Sijali, sijali kuwa na heshima nao, kwa sababu nawajua hawa ni wahalifu wa nchi hii."

"Hawajawahi kuitakia mema. Wanataka kufanyia biashara maisha ya watoto wa Kitanzania, mimi siwezi kukubaliana na hilo hata iweje."

...... Kila jambo linataka kiasi, nchi haiwezi kubeba kelele za minorities muda woote!
Hata hao wapambanaji field, vijana wetu, wapumzishwe basi wapate muda wa kujitafutia riziki! ... OCT29/2025 NI KUTELEZA KWA TAIFA LOTE NA SI MZIGO WA MTU MMOJA!
PAMOJA SANA WAZIRI MKUU!
 
Aliyeunganisha chama na serikali alitukomesha sana.

Hakufahamu kuna watu wa aina ya Mwigulu watakuja kuwapo?
 
Waziri Mkuu Dkt. Mwigulu Nchemba, akiwa ziarani Mkoani Mara, Julai 1, 2026 amewatolea uvivu wanaharakati mbalimbali nchini kwa kuweka wazi kuwa hana heshima nao hata kidogo na wala hajali kuhusu harakati zao.

"Sasa kama hao wana harakati, wana harakati hawa, mimi sina heshima nao hata kidogo, na wala hata huwa sijali. Sijali, sijali kuwa na heshima nao, kwa sababu nawajua hawa ni wahalifu wa nchi hii."

"Hawajawahi kuitakia mema. Wanataka kufanyia biashara maisha ya watoto wa Kitanzania, mimi siwezi kukubaliana na hilo hata iweje."

Ikitokea siku mtu akuambie inaakili kama za mwigulu, pigana naye mpaka umtoe damu, yaan huyu bwana anaakili fupi mnoo, a very selfish man. A Very stupid man
 
Back
Top Bottom