Golf Mike Uniform.
Baada ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania wa October 29, 2025 pamoja na matukio ya Vurugu za Uchaguzi kulikuwepo na nguvu kubwa iliyotumika na Wanaharakati kutaka Kuichafua sura ya Tanzania mbele ya uso wa dunia/Washirika wa Maendeleo.
Wanaharakati hao kupitia Waandishi wa habari...
Serikali ya Kenya imekataa maombi ya Sativa, Hilda Newton, Twaha na Rose Mayemba waliotaka Political Asylum, wameambiwa TZ hakuna shida ya kisiasa warudi kwao au wakae kwa kufuata taratibu, That's Why Pambalu amerudi soon wengine watarudishwa na watakamatwa kwa walichokifanya Oktoba 29.
Waziri Mkuu Dkt. Mwigulu Nchemba, akiwa ziarani Mkoani Mara, Julai 1, 2026 amewatolea uvivu wanaharakati mbalimbali nchini kwa kuweka wazi kuwa hana heshima nao hata kidogo na wala hajali kuhusu harakati zao.
"Sasa kama hao wana harakati, wana harakati hawa, mimi sina heshima nao hata kidogo...
Ukimsikiliza Museveni na mtoto wake kusema wanaharakati wanajificha kwenye nchi za watu waharibu nchi.
Nimebidi kushangaa maana kauli kama hizi zina fanana kauli za hapa kwetu.
Sasa kama wanakimbia nyie mnaopenda ushenzi wa serikali ya CCm basi acheni kusema wapigania uhuru na kujisifia...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.