Wanaharakati wa Tanzania walioko Kenya kurudishwa nchini

Wanaharakati wa Tanzania walioko Kenya kurudishwa nchini

Troll JF

Platinum Member
Joined
Feb 6, 2015
Posts
10,592
Reaction score
15,404
Serikali ya Kenya imekataa maombi ya Sativa, Hilda Newton, Twaha na Rose Mayemba waliotaka Political Asylum, wameambiwa TZ hakuna shida ya kisiasa warudi kwao au wakae kwa kufuata taratibu, That's Why Pambalu amerudi soon wengine watarudishwa na watakamatwa kwa walichokifanya Oktoba 29.
 
Warudi Nyumbani tujenge Nchi yetu kwa pamoja, hatuna Tanzania nyingine
 
Serikali ya Kenya imekataa maombi ya Sativa, Hilda Newton, Twaha na Rose Mayemba waliotaka Political Asylum, wameambiwa TZ hakuna shida ya kisiasa warudi kwao au wakae kwa kufuata taratibu, That's Why Pambalu amerudi soon wengine watarudishwa na watakamatwa kwa walichokifanya Oktoba 29.
maskini dah!
halafu unakamatwa huna hata mia mbovu mfukoni, huku umetumika kufanya ujinga tu na vibaraka wa mabwenyenye ya magharibi.

Inasikitisha sana na kwakweli inafedhehesha sana aise 🐒
 
UNHCR mkataba wa mwaka 1951 unatoa kinga kwa wakimbizi wanaokimbia tawala za kiimla kandamizi zinazoua watu

The principle of non-refoulement is the cornerstone of international refugee protection, prohibiting states from expelling, returning, or "pushing back" refugees and asylum-seekers to territories where their lives or freedom would be threatened.

Article 33 of the 1951 Refugee Convention:
The primary treaty provision establishing that no state shall expel or return a refugee in any manner whatsoever to the frontiers of territories where their life or freedom is threatened

1967 Protocol:
Removes the historical and geographic limitations of the 1951 Convention, making the protection universal

Customary International Law:
Binds all nations globally, regardless of whether they have formally ratified the 1951 Convention.

Who is protected:
Applies to recognized refugees, asylum-seekers whose status is still pending determination, and individuals fleeing armed conflict or mass influxes

Where it applies:
Covers formal deportations, border rejections, interception at sea (pushbacks), and any state action under effective jurisdiction or control

UNHCR's Role:
The UN Refugee Agency monitors international borders, intervenes against unlawful returns, and guides states on upholding their legal obligations

Narrow Exceptions:
Under Article 33(2) of the 1951 Convention, non-refoulement may exceptionally not apply if there are reasonable grounds to regard the person as a danger to the security of the country, or if someone convicted of a particularly serious crime represents a danger to the community. These exceptions are interpreted very strictly
 
Huu ni ujinga. Kwani wamemuibia nani? Wapo nje kuogopa kukamatwa na Mafisadi wauaji wa CCM. sio kwa sababu ni Vibaka. Siasa chafu za CCM ndo zimezaa yote haya.

Pili kenya haiwezi mrudisha mtu yoyote wa East Africa kwani ni Free country ambayo unaingia bila visa.

Tatu Pambalu hakawahi kwenda Uhamishoni. Yupo muda wote Tanzania.. Amekuwa akihudhuria vikao vya chama.

Kutokuoenekana kwasababu alipigwa na polisi akavunjwa mguu hivyo alikuwa anajiuguza ila si kwamba ni mwizi wa kura au kaingia madarakani kwa mtutu wa bunduki.

Thread kama hizi za uongo ndo zimeshusha heshima yako. Sasa unaonekana kama rundo la kamasi mbele za watu
 
Huyu mleta mada mhesabuni ni mwendawazimu mwongo. Mleta mada alivyo punguani, anafanya uwongo ambao ni wa wazi kabisa! Rose, Sativa, hawapo Kenya. Serikali ya Kenya hakuna wakati ilipokubali maombi ya wauji ya kutaka Watanzania waliokimbilia nchini kuokoa maisha yao warudishwe Tanzania. Ndipo wauaji walipoamua kupeleka kundi la watrkaji ili wakawateke watanzania waliokimbilia Kenya. Serikali ya Kenya ikawakamata watekaji waliotumwa na wauaji. Wauaji wakachanganyikiwa. Ndiyo maana mnaona vibwengo vinavyotumika na wauaji, kama huyu mleta mada, vinavyohangaika kutengeneza hadithi za uwongo ili kujifariji!
 
Huu ni ujinga. Kwani wamemuibia nani? Wapo nje kuogopa kukamatwa na Mafisadi wauaji wa CCM. sio kwa sababu ni Vibaka. Siasa chafu za CCM ndo zimezaa yote haya.

Pili kenya haiwezi mrudisha mtu yoyote wa East Africa kwani ni Free country ambayo unaingia bila visa.

Tatu Pambalu hakawahi kwenda Uhamishoni. Yupo muda wote Tanzania.. Amekuwa akihudhuria vvikao vya chama. Kutokuoenekana kwq sababu alipigwa na polisi akavunja mguu hivyo alikuwa anajiuguza ila si kwamba ni mwizi wa kura au kaingia madarakani kwa mtutu wa bunduki.

Thread kama hizi za uongo ndo zimeshusha heshima yako. Sasa unaonekana kama rundo la kamasi mbele za watu
Duuh
 
Back
Top Bottom