sizijui details, lkn sidhani kama ni rahisi kiiihivyo kutimuliwa, nairobi kuna ofisi kuu ya un, dunia nzima kuna ofisi kuu 4 tu za un: new york, geneva, vienna na nairobi ...
Mnaishi kwa theory sana, zitawatesa sana.
Dunia inaendeshwa gizani na wahuni... Hapo hapo Kenya kwenye hizo taasisi watu waliuwawa na bado wanauwawa Kwa sababu hizo hizo za kisiasa...WR leo ni Rais, Kenyata Junior sasa ni mstaafu, Odinga tumezika, Mudavadi yule pale, Kalonzo ndio vile tena....vijana wao akina Bob owino, Sifuna nk hao hapo...
Rwanda Genocide ulikuwa na umri gani? UN, jeshi la ufaransa wakishiriki ujinga na upande mwingine priests wa kanisa Catholic wakishiriki kumaliza watutsi.
USA na Israeli wanapokwenda Iran, UN haipo au haioni, Vipi Maduro anatekwa Ikulu, UN haipo??..
M23 wanarudi tena mzigoni na bosi mpya Kabila, uelekeo Kinshasa...UN HAIPO, HAIONI???
Ukiamua kuingia kilingeni jitahidi kuwa mchawi kweli na sio kubeep...
TAFAKARI..
ndani ya viunga vya Sanaa-Yemeni.