Wanaharakati wa Tanzania walioko Kenya kurudishwa nchini

Wanaharakati wa Tanzania walioko Kenya kurudishwa nchini

Chawa mjinga kama maboss wake, ndio mmekaa hapo mnaomba mafungu kwa ajina Johari mnamdanganya mtawarudisha?

Pengine hujui maana ya asylum na sikulaumu kama Johari ambaye alijipiga kifua akiamini watawahi kumrudisha Mange.

Nawakumbusha tu nyie vijana wa Mafwele njia pekee ya kuwarudisha hao asylee ni labda mkawatekea kama mnavyorandara hapo Nairobi kujua walipo au mtu mwenyewe asifuate masharti ya asylum vinginevyo mtaendelea kutafuna kodi za watanzania kwa vitu visivyowezekana.

Mnajaza Johari mnafikiri kufanya extradition ni sawa na kusafirisha gunia la viazi kutoka Migori hadi Tarime.

Na kabla hamjataka kumrudisha Sativa ambaye ndio target yenu namba moja mlishawapata waliomtoa Dar es Salaam hadi Katavi mbugani?
 
26 October 2026

Askofu Mwanamapinduzi aliye uhamishoni nje ya Tanzania “Afichua mapya” kutekwa kwa Twaha Mwaipaya.


View: https://m.youtube.com/watch?v=JMgtXq_JmWM


26 October 2026
Nairobi, Kenya

CHADEMA na Amnesty International yataka mamlaka ya Kenya kuchukua hatua za haraka kubaini alipo Mwaipaya. Dira ya Dunia TV

View: https://m.youtube.com/watch?v=6FSkMInRksA
Shirika la Kutetea Haki za Kibinadamu la Amnesty International laitaka serikali ya Kenya kutoa ushirikiano, Sakata la Kutekwa Twaha Mwaipya

Mwanaharakati wa upinzani na mtetezi wa haki za binadamu kutoka Tanzania, Twaha Mwaipaya, anaripotiwa kutekwa nyara katika kaunti ya Machakos, viungani mwa jiji la Nairobi, kwa mujibu wa shirika la kutetea haki za kibinadamu la Amnesty International.
 
26 October 2026
MZOZO WA KIDIPLOMASIA WAFUKA MOSHI KUFUATIA WANAHARAKATI WA TANZANIA KUTEKA NCHINI KENYA

Mzozo wa kidiplomasia na haki za binadamu wa kikanda unazidi kufuatia kutekwa nyara kwa mpinzani maarufu wa Tanzania na mratibu wa zamani wa vijana wa upinzani, Twaha Mwaipaya , Jumapili, Oktoba 25, 2026 katika Kaunti ya Machakos, Kenya .
Mashirika ya haki za binadamu, makundi ya kiraia ya kikanda, na viongozi wa upinzani wanadai uwajibikaji wa haraka kutoka kwa serikali ya Kenya, wakionya kwamba Nairobi inazidi kutumika kama "kitovu cha utekaji nyara" kisichodhibitiwa kwa serikali za Afrika Mashariki.

Maelezo ya Msingi ya Utekaji nyara
  • Tukio: Amnesty Internationaliliripoti kwamba Twaha Mwaipaya — mratibu mkuu wa vijana wa chama kikuu cha upinzani nchini Tanzania, CHADEMA — alikamatwa na watu waliokuwa wakisafiri kwa magari matatu walipokuwa wakipanda teksi huko Kamulu, Kaunti ya Machakos.
  • Nia: Mwaipaya hapo awali alikimbilia Kenya baada ya kufungwa jela na kudaiwa kuteswa na polisi wa Tanzania kwa kukosoa utawala wa Rais Samia Suluhu Hassan. Watetezi wa haki za binadamu wanaogopa kwamba yuko katika hatari kubwa ya kupata madhara au kifo kinyume cha sheria ikiwa atarudishwa kwa nguvu kuvuka mpaka.


Kuchochea Msuguano wa Kidiplomasia
Tukio hilo limesababisha ghadhabu kubwa ya umma na kisiasa kutokana na muundo wenye utata mkubwa wa ushirikiano wa mataifa yanayo shirikiana mipaka ya nchi ndani ya Afrika Mashariki
 
Serikali ya Kenya imekataa maombi ya Sativa, Hilda Newton, Twaha na Rose Mayemba waliotaka Political Asylum, wameambiwa Tanzania hakuna shida ya kisiasa warudi kwao au wakae kwa kufuata taratibu, That's Why Pambalu amerudi soon wengine watarudishwa na watakamatwa kwa walichokifanya Oktoba 29.

26 October 2026

Tanzania govt critic abducted in Kenya: Amnesty
1793057543360.png

A Tanzanian dissident, and former opposition official, Twaha Mwaipaya, was abducted in Kenya on Sunday, Amnesty International said.
Tanzania’s government has cracked down heavily on the opposition and been accused of attempting to abduct dissidents who have taken refuge in neighbouring Kenya.

Mwaipaya was a leading youth organiser for the main opposition party, Chadema, and was jailed in 2022 for criticising the government.

He posts regularly to almost 600,000 Instagram followers against the government of President Samia Suluhu Hassan, who is accused by the opposition of brutal repression, including the killing of thousands of protesters during elections a year ago.

Amnesty said Mwaipaya was kidnapped while in a taxi to visit friends “by individuals travelling in three vehicles”. It said the abduction happene in Kamulu, Machakos County, just east of Nairobi on Sunday afternoon.

“Anyone with information on his whereabouts is urged to reach out immediately. Authorities must urgently establish his whereabouts and ensure his safety,” the rights group said on X.

In January 2025, renowned Tanzanian rights activist Maria Sarungi Tsehai was kidnapped in similar circumstances in Nairobi but released before she could be smuggled across the border after an outcry by rights groups and the media.

The same happened to another rights activist, Mshabaha Mshabaha Hamza, in February.


Twaha Mwaipaya, a Tanzanian national, was reportedly abducted at around 2pm today in Kamulu, Machakos County, by individuals travelling in three vehicles, including a Toyota Land Cruiser hardtop.

He was travelling by taxi to visit friends. Anyone with information on his whereabouts is urged to reach out immediately. Authorities must urgently establish his whereabouts and ensure his safety.

Please share widely. #FreeTwahaMwaipaya

— Amnesty Kenya (@AmnestyKenya) October 25, 2026


Source: AFP
 
Serikali ya Kenya imekataa maombi ya Sativa, Hilda Newton, Twaha na Rose Mayemba waliotaka Political Asylum, wameambiwa TZ hakuna shida ya kisiasa warudi kwao au wakae kwa kufuata taratibu, That's Why Pambalu amerudi soon wengine watarudishwa na watakamatwa kwa walichokifanya Oktoba 29.
So chadema ndio walikuwa wakipiga watu risasi majumbani?
 
Wananchi wasingetoka kwenda kufanya uhuni,uharamia,uhaini,ugaidi hakuna risasi ingefuatuliwa,ni simple logic tu,uchome miundombinu ya mwendokasi hata deni hatujamaliza kulipa halafu uachwe tu..kkqumaninna!
Kumbe wewe ni walewale
 
Back
Top Bottom