Mwigulu soon out

Mwigulu soon out

Wenzio wanaotoa tip za ukweli hata ID zao huwa zinafichwa,wewe umeachia ID yako wazi wazi itakuwa ni wishful thinking tu.
ID inafichwa kivipi mkuu.. kwamba haiwez kuonekana humu..?
 
Ili anaeupiga mwingi aupige vizuri,naamini lazima Mwigulu awe amefanya vizuri kwenye Wizara yake.
Unaposema Mwigulu ni mzigo,yule anaeupiga mwingi anaupigaje bila Mwigu??
 
ID inafichwa kivipi mkuu.. kwamba haiwez kuonekana humu..?
Kuna yule aliyesema Mikutano ya siasa itarudishwa na Mkurugenzi wa usalama wa taifa ataondolewa,na kweli hayo mambo yamekuja kutokea. ID yake ina jina tu,huwezi kuona last seen,tarehe ya kujiunga,conversation zake za nyuma wala nini.
 
Hapo ndipo mnapoharibu mambo,

Wengine wanakaa kwenye nafasi hizo kwa kufanya ushirikina mkubwa sana,

Usipofanya maamuzi ya kustukiza utajikuta una ahirisha kkuwatoa kila mara bila kujua inakuwaje?!

Wengine wakisikia hivyo tayari wanakimbilia kwa waganga kwenda kukesha usiku mzima!

Rais wa watu mara anajikuta ana ahirisha anasema hilo la fulani na fulani lisubiri kwanza hadi nitakaporejea toka safari,

Akirejea imetoka hiyo maana anakuwa amesahau Habari hiyo!
 
Back
Top Bottom