Mkuu, hakuna anayepinga kutoa kodi ila kiwango kilichowekwa ni kikubwa mno.
. Nakubaliana na wewe 100%.
..kwanza, viwango ni vikubwa.
..pili, uchumi wetu umeyumba, na vipato vya wananchi vimeporomoka, hivyo hiki sio kipindi sahihi cha kuongeza makodi na matozo.
..tatu, serikali ilipaswa kuonyesha mfano kwa kupunguza matumizi yake yasiyo ya lazima.