Mwigulu: Tozo za miamala zipo kisheria, Waziri hawezi kuzifuta

Mkuu, hakuna anayepinga kutoa kodi ila kiwango kilichowekwa ni kikubwa mno.

. Nakubaliana na wewe 100%.

..kwanza, viwango ni vikubwa.

..pili, uchumi wetu umeyumba, na vipato vya wananchi vimeporomoka, hivyo hiki sio kipindi sahihi cha kuongeza makodi na matozo.

..tatu, serikali ilipaswa kuonyesha mfano kwa kupunguza matumizi yake yasiyo ya lazima.
 
Hiyo ni kwa mujibu wa Sheria ya Fedha (Finance Act) na sio kwa mujibu wa Kanuni husika ambazo zimesainiwa na Dr. Mwigulu!
 
Hiyo ni kwa mujibu wa Sheria ya Fedha (Finance Act) na sio kwa mujibu wa Kanuni husika ambazo zimesainiwa na Dr. Mwigulu!
Mkuu nieleweshe hapa, wizara ya fedha anayoiongoza mh Mwigulu ni ya Muungano au Tanganyika? Nilikuwa nawaza ile kauli yake ya kuwataka Watanzania kwenda Burundi kuwa kwa nini isiwe Zanzibar? Kule pana waizara ya pesa vilevile na labda hii tozo haipo huko!
 
Zanzibar inawahusu pia!
 
Kutoka maktaba yetu. Nye nye nye nye 😩😩😩
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…