Wild Flower
JF-Expert Member
- Jul 20, 2023
- 977
- 1,966
Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt Mwigulu Nchemba amesema Serikali inaandaa mpango wakuhakikisha halmashauri zote nchini zinahusika kutoa mchango wa moja kwa moja wa kujikimu kwa walemavu wale ambao hawawezi kufanya kazi ili kujiingizia kipato Dkt Mwigulu ametoa kauli hiyo wakati akijibu maswali ya papo kwa hapo bungeni jijini Dodoma nakutoa rai kwa kila mtumishi wa umma kuwa na msukumo binafsi wakuwasaidia watu wenye mahitaji maalum.