PostGE2025 Mwigulu: Tunaazimana hadi mafuta na wapinzani

PostGE2025 Mwigulu: Tunaazimana hadi mafuta na wapinzani

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections

DuaZaMama

JF-Expert Member
Joined
Jun 2, 2025
Posts
1,882
Reaction score
4,153
"Wewe huku unaambiwa komaa kamanda mpaka ufe, sisi [wabunge wa CCM na upinzani] tunaazimana mpaka mafuta." - Dkt. Mwigulu Nchemba, Waziri Mkuu akizungumza na wananchi wa Uyole, Mbeya
 
Shida wana fikiria mtu anatoka akafe kwa sababu kaambiwa atoke , wanajifanya hawajui sababu njaa, ukosefu wa ajira , utekaji na kejeli, dharau za watumishi wa umma … kuambiwa nini kifanyike ni cheche tu kwenye tank la mafuta
 
"Wewe huku unaambiwa komaa kamanda mpaka ufe, sisi [wabunge wa CCM na upinzani] tunaazimana mpaka mafuta." - Dkt. Mwigulu Nchemba, Waziri Mkuu akizungumza na wananchi wa Uyole, Mbeya
Alete mipango ya kutatua matatizo yanayotukumba kuliko porojo tu.

Huko CCM wanauana wenyewe kwa wenyewe saivi anatuletea propaganda.

Huyo jamaa anadharirisha cheo cha Uwaziri mkuu
 
HUO NDO UKWELI MCHUNGU

UNAAMBIWA UANDAMANE UNAULIWA KWA KUPEWA ULEMAVU NA KUSAHAU WANASIASA SIO WENZAKO
 
Hivi huyu ni PM,ni katibu mwenezi wa CCM,ni comedian au kazi yake ni nini?

Asee Samia hebu tengeu hii takataka kama lipo ndani ya uwezo wako.Hapa umeingia au uliingizwa cha kike.Huyu hafai kuwa PM

PM kila siku unaongelea habari za Mange,habari za kuchoma sijui kuchoma vitu.Hivi huyu kenge lini atakaa awaeleze watanzania mipango ya serikali katika hii awamu
 
Kati ya kitu kinacho shangaza ni mwigulu kuamini kwamba watu wanaandamana sababu ya CHADEMA, mwigulu ana mambo ya ajabu sana. Watu wanaandamana kwa sababu CCM imeshindwa kuleta haki kwa sheria na taratibu ilizoziweka yenyewe. Wengine hata hatuna chama lakini tunachukizwa na mambo mengi sana ya CCM na serikali yake. Nilipiga kura mwaka 1990 na sitarudia kupiga kura kwa sababu Tanzania hakuna uchaguzi huru na haki. Mwigulu hana critical thinking hata chembe. The word why, how and when kwake anaona ni normal words. Hapa ndo viongozi wengi wa africa wanapofeli. Pia kilicholeta vurugu ni kwa sababu ya kauli za viongozi wengi kuongea bila kupembua kauli zao. Tunajua kizazi cha sasa cha CCM ni useless- kwa mwalimu nyerere hawapo na kwa ulimwengu wa leo ambao watu wazuri hawataki kuwa viongozi nako hawako.
 
HUO NDO UKWELI MCHUNGU

UNAAMBIWA UANDAMANE UNAULIWA KWA KUPEWA ULEMAVU NA KUSAHAU WANASIASA SIO WENZAKO
Kikubwa cccm ife au itoke madarakani, tumeichoka!.
Haiwezekani mtu ateue mwanae kuwa waziri wakati maelfu ya vijana wenye uwezo kuliko huyo mtoto wake wako tu mtaani wanapuyanga bila ajira!.
Kuteka & kuua wakosoaji nako vp??
 
MWAKA 2030 HAKIKISHA UNAGOMBEA MKUU SIMPLE MATHEMATICS
 
Tangu nchi ipate uhuru hatujawahi kuwa na Waziri Mkuu mpumbavu kama huyu, yaani huweiz kutofautisha hoja zake na za Dotto Magari, na kielelezo cha aliyemteua kuwa nanye ni wa hovyo, yaani katika wabunge woote wa CCM kaona hii takataka ni dhahiri naye ana tatizo.
 
Kikubwa cccm ife au itoke madarakani, tumeichoka!.
Haiwezekani mtu ateue mwanae kuwa waziri wakati maelfu ya vijana wenye uwezo kuliko huyo mtoto wake wako tu mtaani wanapuyanga bila ajira!.
Kuteka & kuua wakosoaji nako vp??
Na mwanae angestahili posho ya mtoto wa Rais ingemtosha, ila kabana mpaka uwaziri hataki Watanganyika wafaidi matunda ya nchi yao

Wivu tu unamsumbua.
 
Back
Top Bottom