Kati ya kitu kinacho shangaza ni mwigulu kuamini kwamba watu wanaandamana sababu ya CHADEMA, mwigulu ana mambo ya ajabu sana. Watu wanaandamana kwa sababu CCM imeshindwa kuleta haki kwa sheria na taratibu ilizoziweka yenyewe. Wengine hata hatuna chama lakini tunachukizwa na mambo mengi sana ya CCM na serikali yake. Nilipiga kura mwaka 1990 na sitarudia kupiga kura kwa sababu Tanzania hakuna uchaguzi huru na haki. Mwigulu hana critical thinking hata chembe. The word why, how and when kwake anaona ni normal words. Hapa ndo viongozi wengi wa africa wanapofeli. Pia kilicholeta vurugu ni kwa sababu ya kauli za viongozi wengi kuongea bila kupembua kauli zao. Tunajua kizazi cha sasa cha CCM ni useless- kwa mwalimu nyerere hawapo na kwa ulimwengu wa leo ambao watu wazuri hawataki kuwa viongozi nako hawako.