Mwigulu ndiye gwiji wao wa propaganda huko CCM ndio maana amewekwa hapo wakifikiri ataweza kupambana na mabadiliko kwa hizi propaganda zake za enzi na enzi, kitu ambacho CCM hawaelewei vizuri ni kwamba hizi sio zile enzi za kusubiria taarifa wenye magazeti, redio na TV.Kati ya kitu kinacho shangaza ni mwigulu kuamini kwamba watu wanaandamana sababu ya CHADEMA, mwigulu ana mambo ya ajabu sana. Watu wanaandamana kwa sababu CCM imeshindwa kuleta haki kwa sheria na taratibu ilizoziweka yenyewe. Wengine hata hatuna chama lakini tunachukizwa na mambo mengi sana ya CCM na serikali yake. Nilipiga kura mwaka 1990 na sitarudia kupiga kura kwa sababu Tanzania hakuna uchaguzi huru na haki. Mwigulu hana critical thinking hata chembe. The word why, how and when kwake anaona ni normal words. Hapa ndo viongozi wengi wa africa wanapofeli. Pia kilicholeta vurugu ni kwa sababu ya kauli za viongozi wengi kuongea bila kupembua kauli zao. Tunajua kizazi cha sasa cha CCM ni useless- kwa mwalimu nyerere hawapo na kwa ulimwengu wa leo ambao watu wazuri hawataki kuwa viongozi nako hawako.
Unagombea kwenye tume ya uchaguzi inayopewa maagizo na mwenyekiti wa ccm. Yaani ukapoteze muda kushiriki uchaguzi ambao tume ya uchaguzi haishitakiwi? Silaha za moto tu ndii zitatuoa hapa tulipo.MWAKA 2030 HAKIKISHA UNAGOMBEA MKUU SIMPLE MATHEMATICS
Labda yale ya pdidyUpinde au mafuta ya kula?
Faki the Mazafaka! Anayeua ni nani na kwanini?"Wewe huku unaambiwa komaa kamanda mpaka ufe, sisi [wabunge wa CCM na upinzani] tunaazimana mpaka mafuta." - Dkt. Mwigulu Nchemba, Waziri Mkuu akizungumza na wananchi wa Uyole, Mbeya
Samahani sana wakiliTutake radhi wauza mitumba
Ukikaa upande wa kukosoa hata aseme nini hutaliona kama ni jema na linafaa. Na hasa ukosoaji unaombatana na CHUKI.Hivi huyu ni PM,ni katibu mwenezi wa CCM,ni comedian au kazi yake ni nini?
Asee Samia hebu tengeu hii takataka kama lipo ndani ya uwezo wako.Hapa umeingia au uliingizwa cha kike.Huyu hafai kuwa PM
PM kila siku unaongelea habari za Mange,habari za kuchoma sijui kuchoma vitu.Hivi huyu kenge lini atakaa awaeleze watanzania mipango ya serikali katika hii awamu
Inawezekana 😄Labda yale ya pdidy
maybe!
Hayo mafuta hapo aongezee maelezo mafuta ya nini kuyapeleka wapi?tunaazimana mpaka mafuta
Vp huko kapata nyomi"Wewe huku unaambiwa komaa kamanda mpaka ufe, sisi [wabunge wa CCM na upinzani] tunaazimana mpaka mafuta." - Dkt. Mwigulu Nchemba, Waziri Mkuu akizungumza na wananchi wa Uyole, Mbeya
Usipouliwa kwenye maandamano, UTATEKWA na serekali ya CCM na kuuliwa pia.HUO NDO UKWELI MCHUNGU
UNAAMBIWA UANDAMANE UNAULIWA KWA KUPEWA ULEMAVU NA KUSAHAU WANASIASA SIO WENZAKO