Huu ndio unafiki na utapeli katika siasa.
Kabla ya uchaguzi, kuna watu binafsi, wazee wa hekima, taasisi za dini, vyama vya siasa, vilolalamikia uwepo wa tume fake ya kusimamia uchaguzi, walilalamikia ushetani wa kuteka na kuua watu, walilalamikia sheria na kanuni mbaya za uchaguzi, baada ya watu wengi kuuawa na UVCCM, kmkm na polisi, watu mbalimbali wameomba na kushauri ndugu wa marehemu warudishiwe miili ya marehemu; kuna lipi liliwahi kushughulikiwa?? Halafu leo huyu shetani anakuja na kauli eti serikali itasikiliza na kushughulikia kero za wananchi!!
Kwa hiyo amewaona bodaboda na waendesha bajaji ndiyo kundi la wasio na akili, analoweza kulifanyia utapeli wa kisiasa!
Wananchi, akija kiongozi tapeli mwenye kuongea upuuzi, anngalao mzomeeni.