Mwigulu: Tusidanganywe na wale wasionufaika na amani yetu

Mwanamwana

Platinum Member
Joined
Aug 1, 2011
Posts
9,604
Reaction score
22,722
Waziri Mkuu Dkt. Mwigulu Nchemba leo Januari 23, 2026 akiweka jiwe la msingi mradi wa Ujenzi Vituo vya Kusukuma Maji, Mabomba Makuu ya Usafirishaji Maji na Matanki ya Kuhifadhia Maji jijini Mwanza amewataka wananchi kutovunja amani ya nchi kwa kushawishiwa na watu ambao wapo nje ya nchi kwani madhara yakitokea mtu wa kwanza kuumini ni yule aliye eneo husika.

Tusihadaiwe ni viongozi wauaji, dhulumati wakubwa. Wananchi tujitenge na haya majitu.
 
TUSIDANGANYWE NA CCM inayohubiri amani huku ikipata kigugumizi cha kutamka HAKI
 
Waziri Mkuu Dkt. Mwigulu Nchemba leo Januari 23, 2026 akiweka jiwe la msingi mradi wa Ujenzi Vituo vya Kusukuma Maji, Mabomba Makuu ya Usafirishaji Maji na Matanki ya Kuhifadhia Maji jijini Mwanza amewataka wananchi kutovunja amani ya nchi kwa kushawishiwa na watu ambao wapo nje ya nchi kwani madhara yakitokea mtu wa kwanza kuumini ni yule aliye eneo husika.

Muulizeni lini atafikishwa mahakamani yule aliyekamatwa na bilioni tano kuandaa na kuhamasisha maandano October 29,30 na 31?
 
Huyu hata pesa bank haweki anapokea cash kuogopa kushikwa wizi no jambazi
 
Back
Top Bottom