Mwanamwana
Platinum Member
- Aug 1, 2011
- 9,604
- 22,722
Muulizeni lini atafikishwa mahakamani yule aliyekamatwa na bilioni tano kuandaa na kuhamasisha maandano October 29,30 na 31?Waziri Mkuu Dkt. Mwigulu Nchemba leo Januari 23, 2026 akiweka jiwe la msingi mradi wa Ujenzi Vituo vya Kusukuma Maji, Mabomba Makuu ya Usafirishaji Maji na Matanki ya Kuhifadhia Maji jijini Mwanza amewataka wananchi kutovunja amani ya nchi kwa kushawishiwa na watu ambao wapo nje ya nchi kwani madhara yakitokea mtu wa kwanza kuumini ni yule aliye eneo husika.