Mwigulu ukome kabisa kutufanya Watanganyika Wapumbavu

Mwigulu ukome kabisa kutufanya Watanganyika Wapumbavu

Lord Denning

JF-Expert Member
Joined
Jun 3, 2015
Posts
23,491
Reaction score
57,973
Kwa taarifa yako hakuna Propaganda mtakayotuuzia Watanganyika safari hii na kufanikiwa kuturubuni.

KIla Mtanzania anajua Watanganyika waliouliwa waliuliwa kwa amri na maelekezo ya muuaji Samia na Wakuu wake wa vyombo vya Ulinzi na Usalama.

Kila Mtanganyika ameona Samia ameingiza vikosi kutoka Zanzibar na Uganda kupitia TISS ili kutuua Watanganyika.

Kila Mtanganyika ameona hakuna uchaguzi uliofanyika zaidi ya Uchafuzi kuwalazimisha Watanganyika kutawaliwa na Chama chenu mfu na huyo mshenzi wa Kizanzibari.

Kila mtanganyika ameona mmeua ndugu zetu na kuficha miili yao. Haya yote mmefanya nyie hakuna na kuratibiwa na nyie wenyewe.

Tunakwambia Mwigulu ukome kabisa na koma kabisa kutufanya Watanganyika Wapumbavu. Hasira zetu Wananchi zimetokana na nyie kutulazimisha kututawala kwa nguvu, huku mkifanya ufisadi na kutuua, kututeka na kutupoteza ili mzidi kufurahia keki ya Taifa na Familia zenu.

Na kwa namna mnavyozidi kutufanya kuwa sisi ni wapumbavu kwa kutulisha propaganda za kishenzi, Desemba 9 tunaandamana tena na kuwaonesha nyie sio Viongozi wetu na sisi sio Wapumbavu.
 
Sasa hivi wananchi wakitoa matamko watu wanapata matumbo joto tofauti na zamani aisee tumefikaje huku
Huyu mshenzi anadhani sisi ni kizazi cha mwaka 1960 ambao walikuwa hawajaenda shule, hawana hata redio na hawajui vyombo vya habari.

Kututeka watuteke wao, kutufungulia kesi za uongo wafanye wao, kutuua na kutupoteza wafanye wao na mwisho kuiba uchaguzi wafanye wao alafu Wananchi wakikasirika na kuchukua hatua wanadai eti economic sabotage.

Wananchi wakisema inatosha eti wanadai tunachonganishwa. Hawa jamaa ni washenzi sana na kwa wanavyozidi kutufanya sisi washenzi na wapuuzi hawa Desemba 9 tutawaonesha kweli kuwa sisi sio Wapumbavu kama wanavyodhani.
 
Larry tuletee part 2 huku watu wanajinyea.
Eti anataja miundombinu.

Mjerumani alijenga reli ndefu zaidi Afrika ( Reli ya Kati) ila Babu zetu walimkataa na kudai uhuru.

Mjerumani na Mwingireza walianzisha mashamba, viwanda na kujenga Ofisi za Umma ila Babu zetu waliwakataa na kudai uhuru.

Miundombinu hata iwe mizuri vipi kama Wananchi hawana haki na uhuru ni kazi bure.

Haiwezekani mtuue, kutupoteza na kututeka alafu tukidai haki zetu mnasingizia watu wa nje. Kwa hiyo Watu wa nje ndo wamewatuma mtuteke, kutuua na kutupoteza???

Watu wa Nje ndo wamewaambia mfisadi rasilimali za Taifa na kujinufaisha na familia zenu tu?
 
IMG-20251125-WA0001.jpg

Ahsante kwa wazalendo kuendelea kumimina ushahidi pengine hivi karibuni huyu muuaji aliyeua watu wengi sana watu watamjua sura yake ila kwa kazi za hovyo kama hiyo aliyofanya pengine walishammaliza tayari ila naamini tutaijua walau sura yake nae ataingia kwenye rekodi kuungana na waliomtuma.
20251104_030225.jpg
 
Linaxungumzia miundombinu wakati damu za watu wasiokuwa na hatia zimemwagwa?...... MBONA WANAZIDI KUPANDISHA HASIRA WAHA ?
 
Hapa ndo patam hakuna kudharauliana yaan mpaka rahaa
Watanganyika tumekataa kuwa mafala. Na hawa wapuuzi mwaka huu lazima wakome kutuchukulia sisi kama mafala.

Yaani kutuua watuue wao, kupora uchaguzi wafanye wao, kututeka na kutupoteza wafanye wao alafu wanajifanya kusingizia eti kuna watu wa nje??

Hakuna mtanganyika wa kununua poropaganda zao za kishenzi hizi.
 
I like it when you call us tanganyikans,absolutely sounds good
 
Kwa taarifa yako hakuna Propaganda mtakayotuuzia Watanganyika safari hii na kufanikiwa kuturubuni.

KIla Mtanzania anajua Watanganyika waliouliwa waliuliwa kwa amri na maelekezo ya muuaji Samia na Wakuu wake wa vyombo vya Ulinzi na Usalama.

Kila Mtanganyika ameona Samia ameingiza vikosi kutoka Zanzibar na Uganda kupitia TISS ili kutuua Watanganyika.

Kila Mtanganyika ameona hakuna uchaguzi uliofanyika zaidi ya Uchafuzi kuwalazimisha Watanganyika kutawaliwa na Chama chenu mfu na huyo mshenzi wa Kizanzibari.

Kila mtanganyika ameona mmeua ndugu zetu na kuficha miili yao. Haya yote mmefanya nyie hakuna na kuratibiwa na nyie wenyewe.

Tunakwambia Mwigulu ukome kabisa na koma kabisa kutufanya Watanganyika Wapumbavu. Hasira zetu Wananchi zimetokana na nyie kutulazimisha kututawala kwa nguvu, huku mkifanya ufisadi na kutuua, kututeka na kutupoteza ili mzidi kufurahia keki ya Taifa na Familia zenu.

Na kwa namna mnavyozidi kutufanya kuwa sisi ni wapumbavu kwa kutulisha propaganda za kishenzi, Desemba 9 tunaandamana tena na kuwaonesha nyie sio Viongozi wetu na sisi sio Wapumbavu.
Mipasho yote ya nini hiyo mama! Unachamba kama msenge! Vp Dec 9 unakaribia Huruma zile msg zangu za watu kuchoma Moto.. Nakuonea wivu aliyekutoa bikara... Huna issue TENA yanabakia kuwaambia watu wakome Tu . Na mkitoka Dec 9 kutufanyia vurugu tunawamaliza wote...
 
Hujarudi tu kwenu Zanzibar?
 
Huyu dawa yake ni kushughulika tena na mabasi yake ya Ester tarehe 9D.
 
Back
Top Bottom