Mwigulu umewadanganya Wastaafu, Bunge na Rais. Laana ya wazee mtaiona

Ma Kanali wa Kweli wapo Africa Magharibi! wasiovumilia ujinga na uporaji wa Mali za Umma,wameruhusu Viongozi wametafuna nchi,wanataka mafao yepi? Walizoea kula mapololo wakasahau kulinda maslahi ya ndani ya nchi zidi ya mkoloni mweusi.Mstaafu mwenzao kinana,anakula mpaka kesho.
 
Mtu aliyefanya kazi mwaka 1985 mshahara kima Cha chini ilikuwa sh 810/= thamani ya pesa ya wakati huo na wakati huu si sawa kitumbua ilikuwa senti 10 Sasa hivi sh 100/=. Malipo yao yaangalie thamani ya pesa imepanda mara ngapi ndo haki yao maana wanaishia maisha ya leo 2024 siyo ya 1985!
 
Si huwa tunasikia kwamba Walimu ndo wana maisha maisha magumu sana kuliko watu wengine hapo Tanzania? Kulikoni tena?
 
mini amini nawaambia kwa vile baba na mama zenu wale mlitoa ahadi kuwawaongezea na mmedharau kwa vile "hawana cha kuwafanya" mtaona utawala wenu hautakaa utulie na mwisho lipo lisilo jema laweza kuwafata kokote mliko.
Amina, na uweza na mkono wa Mola wetu ukawaadhibu hawa watu
 
Aione @mwigulunchemba
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…