Mh. Mwigulu ulikuwa Waziri wa Mambo ya Ndani na ulifanya kazi kubwa sana ya kuwatembelea na kuwasikiliza askari wa vyombo mbali mbali vilivyopo wizara ya mambo ya ndani. Moja wapo ya madai yao unayajua vizuri sana, Posho ya Maji, Umeme na Pango.
Sasa upo wizara ya fedha kwenye bajeti hii askari wanategemea kwa uzoefu ulio nao kwa madai hayo utakubali kuidhinisha fungu la kuanza kulipa posho hizo kwenye mishahara ya askari hao moja kwa moja.
Nikutakie kazi njema.