Mwigulu unampigia nani kelele bungeni?

Tuna kula kwa urefu wa kamba zetu . Aache kutupigia kelele . Kwanza yeye ni mbunge wa kupachikwa , sio wa kuchaguliwa na watanzania.
 
Waacheni vibaka wa Magufuli wafokeane.
 
Kichaa kinamrudia...
 
gubu sio jambo jema kwa afya 🐒
 
Ni bunge la nchi gani hiyo unazungumzia mkuu...🤔
 
Ana fake uzalendo😂😂
 
Anadai wafanyabiashara mmepewa idhini ya kukusanya Kodi Kwa niaba ya Serikali, hamzileti,

Eti hayo ni Kweli?

Kiukweli Mapato tra yameshuka sana hapo hapo tunaambiwa wamevuka lengo[emoji848]

Sijui hapo unachukua kipi na kuacha kipi!!
Nadhani kuna kitu WF hajakitizama vizuri!

Tatizo kubwa kwa Biashara Nyingi ni pale Umeme ulipokuwa unakatika sanaaa!

Viwanda viliparalyse!

Lazima effect zake zianze kuonekana sasa!

Nguvu kubwa iende kwenye kuimarisha upatikanaji wa hii nishati then Hazina itajaa pesa tu!

Wafanyabiashara siku hizi wanaona Fahari ya kulipa kodi lakini ni lazima kuwepo na balance kutoka upande wa Pili!

Sent from my SM-A307FN using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…