Kweli kabisa,Nadhani kuna kitu WF hajakitizama vizuri!
Tatizo kubwa kwa Biashara Nyingi ni pale Umeme ulipokuwa unakatika sanaaa!
Viwanda viliparalyse!
Lazima effect zake zianze kuonekana sasa!
Nguvu kubwa iende kwenye kuimarisha upatikanaji wa hii nishati then Hazina itajaa pesa tu!
Wafanyabiashara siku hizi wanaona Fahari ya kulipa kodi lakini ni lazima kuwepo na balance kutoka upande wa Pili!
Sent from my SM-A307FN using JamiiForums mobile app
Umeme uliathiri uzalishaji, mapato lazima yashuke,
Awafuate Wauza majenereta wampe Kodi!!