Mwigulu: Vijana Wetu Wanatusumbua; Onyesha Ajira 12 Milioni

Phillemon Mikael

Platinum Member
Joined
Nov 5, 2006
Posts
10,590
Reaction score
8,726
Tunasikitika sana leo mambo ni mengi muda mchache; lakini kuweka rekodi sawa nimefungua hii thread ili muda ukitulia Mwigulu atueleze.

Mwigulu ambaye kutwaaa kuchwaaa anaota kuwa Rais wa Tanzania. Leo kapewa uwaziri muhimu wa fedha analeta siasa kwenye suala nyeti la ajira kwa vijana.

Tunaomba tu aonyeshe hizo ajira milioni 12 ; maana wadogo zetu na watoto wanatusumbua sana baada ya kusikia ajira hizo.

AJIRA: Waziri wa Fedha na Mipango, Dk. Mwigulu Nchemba amesema, kati ya mwaka 2017-2020, jumla ya ajira zaidi ya milioni 12.77 zimezalishwa, milioni 11.89 za moja kwa moja na zisizo rasmi 881,354.
 
Mwigulu ameshaadhiriwa na saisa, hiyo wizara mama aliyompa haiitaji siasa, inahitaji mtendendaji haswa.
 
Tunasikitika sana leo mambo ni mengi muda mchache; lakini kuweka rekodi sawa nimefungua hii thread ili muda ukitulia Mwigulu atueleze.

Mwigulu ambaye kutwaaa kuchwaaa anaota kuwa Rais wa Tanzania. Leo kapewa uwaziri muhimu wa fedha analeta siasa kwenye suala nyeti la ajira kwa vijana.

Tunaomba tu aonyeshe hizo ajira milioni 12 ; maana wadogo zetu na watoto wanatusumbua sana baada ya kusikia ajira hizo.

AJIRA: Waziri wa Fedha na Mipango, Dk. Mwigulu Nchemba amesema, kati ya mwaka 2017-2020, jumla ya ajira zaidi ya milioni 12.77 zimezalishwa, milioni 11.89 za moja kwa moja na zisizo rasmi 881,354.
Ajira elf 12 ni pamoja na yeye jana kwenda na mke na watoto wake 5 kwenda nao bungeni kwa kodi za wananchi
 
Mkuu unataka usikia ajira zikitangazwa magazetini au kwenye runinga,kama mwanao amepata kibarua cha kufagia sokoni tayari hiyo ni ajira, kama anasukuma mkokoteni tayari ni ajira, kama huna ajira ina maana huna kazi ya kufanya,choma mihogo uza upate pesa ,mwambie kijana wako akakate majani ya kulishia ng'ombe auza apate pesa ,hiyo ni ajira tosha ,shida mnataka kila mmoja aajiriwe benki au TRA au awe mwalimu
 
Watanzania wanageuzwageuzwa ovyoovyo kama chapati ya Mamantilie!
 
Tunasikitika sana leo mambo ni mengi muda mchache; lakini kuweka rekodi sawa nimefungua hii thread ili muda ukitulia Mwigulu atueleze.

Mwigulu ambaye kutwaaa kuchwaaa anaota kuwa Rais wa Tanzania. Leo kapewa uwaziri muhimu wa fedha analeta siasa kwenye suala nyeti la ajira kwa vijana.

Tunaomba tu aonyeshe hizo ajira milioni 12 ; maana wadogo zetu na watoto wanatusumbua sana baada ya kusikia ajira hizo.

AJIRA: Waziri wa Fedha na Mipango, Dk. Mwigulu Nchemba amesema, kati ya mwaka 2017-2020, jumla ya ajira zaidi ya milioni 12.77 zimezalishwa, milioni 11.89 za moja kwa moja na zisizo rasmi 881,354.
Na awamu hii inaendelea kukubali upuuuzi huo?
 
Pongezi kwa hizo Ajira mr Mwiguru ingawa bado kuna tatizo la ajira tunataka zaidi ya hizo tunataka hadi waokota Makopo waingizwe kwenye system ya serikali tunataka mpaka wamachinga waingizwe kwenye system ya serikali nadhani itakua powa sana na itawapa sifa sana Duniani kote kwa kuzalisha ajira kwa wingi
 
Tunasikitika sana leo mambo ni mengi muda mchache; lakini kuweka rekodi sawa nimefungua hii thread ili muda ukitulia Mwigulu atueleze.

Mwigulu ambaye kutwaaa kuchwaaa anaota kuwa Rais wa Tanzania. Leo kapewa uwaziri muhimu wa fedha analeta siasa kwenye suala nyeti la ajira kwa vijana.

Tunaomba tu aonyeshe hizo ajira milioni 12 ; maana wadogo zetu na watoto wanatusumbua sana baada ya kusikia ajira hizo.

AJIRA: Waziri wa Fedha na Mipango, Dk. Mwigulu Nchemba amesema, kati ya mwaka 2017-2020, jumla ya ajira zaidi ya milioni 12.77 zimezalishwa, milioni 11.89 za moja kwa moja na zisizo rasmi 881,354.
Hatari tupu ni full siasa yani na kuingizana mkenge..
 
Serikali haina hata waajiriwa 2M private sectors total ajira hazijavuka 4M sasa hawa milion 12 ni misukule au?
 
Mmh!
Nchi ngumu Sana hiii
IMG_20210406_141901.jpg
 
Mkuu ni milion 12, nadhan nawe pia ulimaanisha hivo...

Huyu Mwigulu ni hovyo anadhani bado tuko enzi za Jiwe, ..anaendelea kupika data za uongo
Ajira elf 12 ni pamoja na yeye jana kwenda na mke na watoto wake 5 kwenda nao bungeni kwa kodi za wananchi
 
Tunasikitika sana leo mambo ni mengi muda mchache; lakini kuweka rekodi sawa nimefungua hii thread ili muda ukitulia Mwigulu atueleze.

Mwigulu ambaye kutwaaa kuchwaaa anaota kuwa Rais wa Tanzania. Leo kapewa uwaziri muhimu wa fedha analeta siasa kwenye suala nyeti la ajira kwa vijana.

Tunaomba tu aonyeshe hizo ajira milioni 12 ; maana wadogo zetu na watoto wanatusumbua sana baada ya kusikia ajira hizo.

AJIRA: Waziri wa Fedha na Mipango, Dk. Mwigulu Nchemba amesema, kati ya mwaka 2017-2020, jumla ya ajira zaidi ya milioni 12.77 zimezalishwa, milioni 11.89 za moja kwa moja na zisizo rasmi 881,354.
Acha aongee atakavyo.

Siku si nyingi tutamuadhibu.
 
Msh, enzi sana huyu kumbe.
Hivi na wewe mheshimiwa Samia unakubali uongo wa huyu mpuuzi aliyeshiba madaraka?
Tunasikitika sana leo mambo ni mengi muda mchache; lakini kuweka rekodi sawa nimefungua hii thread ili muda ukitulia Mwigulu atueleze.

Mwigulu ambaye kutwaaa kuchwaaa anaota kuwa Rais wa Tanzania. Leo kapewa uwaziri muhimu wa fedha analeta siasa kwenye suala nyeti la ajira kwa vijana.

Tunaomba tu aonyeshe hizo ajira milioni 12 ; maana wadogo zetu na watoto wanatusumbua sana baada ya kusikia ajira hizo.

AJIRA: Waziri wa Fedha na Mipango, Dk. Mwigulu Nchemba amesema, kati ya mwaka 2017-2020, jumla ya ajira zaidi ya milioni 12.77 zimezalishwa, milioni 11.89 za moja kwa moja na zisizo rasmi 881,354.
 
Mwigulu Mchemba bado anaendeleza tabia ya kupika data na kusema uongo!
 
Habari jf,
Hivi ni kweli taarifa hizi za mh waziri was fedha kwamba serikali imetoa ajira milioni 12 mpaka sasa??

Robo ya watanzania wameajiriwa na serikali? Kama ni kweli basi na ipongezwe ila kama si kweli waziri alighafilika mwenye data kamili tujuzeni.
Screenshot_20210409-092339.png
 
BADO NAWAZA HAPA HIVI WALE VIJANA WALIOFUKUZWA JKT WAKIANZA KUKABA ITAKUWAJE?
 
Tunasikitika sana leo mambo ni mengi muda mchache; lakini kuweka rekodi sawa nimefungua hii thread ili muda ukitulia Mwigulu atueleze.

Mwigulu ambaye kutwaaa kuchwaaa anaota kuwa Rais wa Tanzania. Leo kapewa uwaziri muhimu wa fedha analeta siasa kwenye suala nyeti la ajira kwa vijana.

Tunaomba tu aonyeshe hizo ajira milioni 12 ; maana wadogo zetu na watoto wanatusumbua sana baada ya kusikia ajira hizo.

AJIRA: Waziri wa Fedha na Mipango, Dk. Mwigulu Nchemba amesema, kati ya mwaka 2017-2020, jumla ya ajira zaidi ya milioni 12.77 zimezalishwa, milioni 11.89 za moja kwa moja na zisizo rasmi 881,354.
Yale Yale ya viwanda 4000 !!!! Bado tuna shida
 
Ni kweli mi niliingia kazini 2017 nilikua wa 23689071
 
Back
Top Bottom