Phillemon Mikael
Platinum Member
- Nov 5, 2006
- 10,590
- 8,726
Tunasikitika sana leo mambo ni mengi muda mchache; lakini kuweka rekodi sawa nimefungua hii thread ili muda ukitulia Mwigulu atueleze.
Mwigulu ambaye kutwaaa kuchwaaa anaota kuwa Rais wa Tanzania. Leo kapewa uwaziri muhimu wa fedha analeta siasa kwenye suala nyeti la ajira kwa vijana.
Tunaomba tu aonyeshe hizo ajira milioni 12 ; maana wadogo zetu na watoto wanatusumbua sana baada ya kusikia ajira hizo.
AJIRA: Waziri wa Fedha na Mipango, Dk. Mwigulu Nchemba amesema, kati ya mwaka 2017-2020, jumla ya ajira zaidi ya milioni 12.77 zimezalishwa, milioni 11.89 za moja kwa moja na zisizo rasmi 881,354.