Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba leo Juni 27, 2026 akizungumza na wananchi wa Ikungi, Mkoani Singida ametoa amri kwa Vyombo vya usalama kutoogopa wala kutomchekea Mtu yeyote anayetaka kuvunja amani ya nchi.
"Na vyombo vya ulinzi na usalama, sikilizeni, wala msiogope. Mtu yeyote anayetaka kuvunja amani ya nchi yetu, wala msimchekee. Ndio. Wala tusidanganyane, tutambizana ukweli tu. Atudanganyane, tunambizana ukweli.
Yaani yeye analipwa ili aumize Watanzania, mnataka tumchekee? Mnataka tumchekee? Hatuwezi tukaruhusu vitu vya namna hii. Na wala hatutaruhusu nchi yetu iwe nchi ya kutangaziana tu kwamba siku fulani tunataka kufanya hivi. Hatutaruhusu pia. Nchi yetu ina katiba."