mhalifu anauliwa au anakamatwa na kupelekwa kwenye vyombo vya sheria. Ebu acha ufalaWaliuawa wakiwa wapi?.. watoto gani waliuawa?.. halafu mbona unakimbilia kuiba unaacha kuchoma miundombinu na kushambulia wapiga kura?
Yule MAJINI mtu wenu ,mlimpiga risasi akiwa anachoma miundombini sehemu gani.Waliuawa wakiwa wapi?.. watoto gani waliuawa?.. halafu mbona unakimbilia kuiba unaacha kuchoma miundombinu na kushambulia wapiga kura?
Unafanya uhalifu Ili ukamatwe!?..kmaanina,kwa wagagagigikoko unakula chuma tumhalifu anauliwa au anakamatwa na kupelekwa kwenye vyombo vya sheria. Ebu acha ufala
SIWEZI KUHANGAIKA NA MACHIZI.Ilikuaje polisi wakaua watu oktoba 29 na tunaona hawaui siku zingine?
Yaani walipewa amri kuua watu wakienda kazini?!Walipewa amri,siku zingine hawakupewa,sahivi wanapewa tena🫡
Kwanini hamjawachukulia hatua!?Najua nini kilitokea oktoba na najua wahusika ni viongozi wa kanisa,chama cha siasa na wanaharakati
Unanipunguzia nini?SISEZI KUHANGAIKA NA MACHIZI.
WATU KAMA NYIE NI KUPIGA TOFALI TU
IGNORE BUTTON/ MEANS WEWE NI MPUUZI NA NIMEKUPUUZA MILELE
Tunataka wawarubuni tena Ili tupunguze misukuleKwanini hamjawachukulia hatua!?
sheria inasemaje ndugu?Unafanya uhalifu Ili ukamatwe!?..kmaanina,kwa wagagagigikoko unakula chuma tu
Naomba ujibu mkuuYaani walipewa amri kuua watu wakienda kazini?!
Madam much respectMaswali magumu yanayofunua upumbavu wenu wa oktoba, rudieni tena kenge nyinyi
Rudieni tena!Uko sick sana mkichwa!
Ng’ombe wa mama, watu wazima hawatishiwi nyau. Ukipenda, katishie wanao na mumeo!Rudieni tena!
Hayo ni maneno tuNg’ombe wa mama, watu wazima hawatishiwi nyau. Ukipenda, katishie wanao na mumeo!
Hivi kawahi kukemea utekaji huyu PM wetu?Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba leo Juni 27, 2026 akizungumza na wananchi wa Ikungi, Mkoani Singida ametoa amri kwa Vyombo vya usalama kutoogopa wala kutomchekea Mtu yeyote anayetaka kuvunja amani ya nchi.
"Na vyombo vya ulinzi na usalama, sikilizeni, wala msiogope. Mtu yeyote anayetaka kuvunja amani ya nchi yetu, wala msimchekee. Ndio. Wala tusidanganyane, tutambizana ukweli tu. Atudanganyane, tunambizana ukweli.
Yaani yeye analipwa ili aumize Watanzania, mnataka tumchekee? Mnataka tumchekee? Hatuwezi tukaruhusu vitu vya namna hii. Na wala hatutaruhusu nchi yetu iwe nchi ya kutangaziana tu kwamba siku fulani tunataka kufanya hivi. Hatutaruhusu pia. Nchi yetu ina katiba."
"Hawaui siku zingine!!' Unamaanisha nini? Hawa wanaotekwa na hawaonekani tena unao nyumbani kwako??Ilikuaje polisi wakaua watu oktoba 29 na tunaona hawaui siku zingine?