Ilikuaje polisi wakaua watu oktoba 29 na tunaona hawaui siku zingine?Tuna Waziri Mkuu Mpumbavu sana.
"POLISI WAMEU RAIA OCTOBER 29
WATU WANATEKWA KILA SIKU.
Ni nani anayehatarisha amani.
Swali haliko sawa!Ilikuaje polisi wakaua watu oktoba 29 na tunaona hawaui siku zingine?
Haliko sawa au hulipendi?Swali haliko sawa!
Silipendi na haliko sawa, maandamano yalifanyika na yapo kwenye Katiba!Haliko sawa au hulipendi?
Maandamano siku ya uchaguzi,kwenda kupiga wasimamizi wa uchaguzi na wapiga kura, kuchoma miundombinu ya umma na mali binafsi,kuiba?Silipendi na haliko sawa, maandamano yalifanyika na yapo kwenye Katiba!
Kwa hiyo watoto waliouwawa na walienda kuiba!Maandamano siku ya uchaguzi,kwenda kupiga wasimamizi wa uchaguzi na wapiga kura, kuchoma miundombinu ya umma na mali binafsi,kuiba?
Waliuawa wakiwa wapi?.. watoto gani waliuawa?.. halafu mbona unakimbilia kuiba unaacha kuchoma miundombinu na kushambulia wapiga kura?Kwa hiyo watoto waliouwawa na walienda kuiba!
Kama hujui,Nyamaza nayo ni HEKIMA!Waliuawa wakiwa wapi?.. watoto gani waliuawa?.. halafu mbona unakimbilia kuiba unaacha kuchoma miundombinu na kushambulia wapiga kura?
Uko sick sana mkichwa!Ilikuaje polisi wakaua watu oktoba 29 na tunaona hawaui siku zingine?
Maswali magumu yanayofunua upumbavu wenu wa oktoba, rudieni tena kenge nyinyiUko sick sana mkichwa!
Najua nini kilitokea oktoba na najua wahusika ni viongozi wa kanisa,chama cha siasa na wanaharakatiKama hujui,Nyamaza nayo ni HEKIMA!
Udini utakumaliza sana, Naona kichwani umejaa pumba za mashudu!Najua nini kilitokea oktoba na najua wahusika ni viongozi wa kanisa,chama cha siasa na wanaharakati
hawa ndio viongozi shupavu na wenye uthubutu taifa letu linawahitaji zaidi kwa sasa.
"Na vyombo vya ulinzi na usalama, sikilizeni, wala msiogope. Mtu yeyote anayetaka kuvunja amani ya nchi yetu, wala msimchekee. Ndio. Wala tusidanganyane, tutambizana ukweli tu. Atudanganyane, tunambizana ukweli.
Yaani yeye analipwa ili aumize Watanzania, mnataka tumchekee? Mnataka tumchekee? Hatuwezi tukaruhusu vitu vya namna hii. Na wala hatutaruhusu nchi yetu iwe nchi ya kutangaziana tu kwamba siku fulani tunataka kufanya hivi. Hatutaruhusu pia. Nchi yetu ina katiba."
Ng’ombe wa mama, mtu mzima hatishiwi nyau. Ukipenda, tishia wanao na mumeo!Maswali magumu yanayofunua upumbavu wenu wa oktoba, rudieni tena kenge nyinyi
Walipewa amri,siku zingine hawakupewa,sahivi wanapewa tena🫡Ilikuaje polisi wakaua watu oktoba 29 na tunaona hawaui siku zingine?