Mwigulu: Vyombo vya Ulinzi Msiogope, Mtu yeyote anayetaka kuvunja amani ya nchi yetu msimchekee

CCM mkubaliane na ukweli. Mabadiliko kwa sasa hayakwepeki. Mtaua, mtateka, mtafunga! Bado haisaidii kitu. Wananchi wamechoshwa na utawala wenu uliojaa ufisadi, mauaji, utekaji, wizi, uonevu, dhuluma, hila za kila aina, nk.
 
Waliuawa wakiwa wapi?.. watoto gani waliuawa?.. halafu mbona unakimbilia kuiba unaacha kuchoma miundombinu na kushambulia wapiga kura?
mhalifu anauliwa au anakamatwa na kupelekwa kwenye vyombo vya sheria. Ebu acha ufala
 
Waliuawa wakiwa wapi?.. watoto gani waliuawa?.. halafu mbona unakimbilia kuiba unaacha kuchoma miundombinu na kushambulia wapiga kura?
Yule MAJINI mtu wenu ,mlimpiga risasi akiwa anachoma miundombini sehemu gani.
 
Hii kauli kwa watu wenye akili wameelewa.
Hebu acheni kucheza na amani ya Tanzania yetu
 
Maana Yake ni mwendo wa "Chuma" tu Jamaa kibiongo wa pwani huita hii ni "Show show", lugha ambayo wanausalama wa TZ wanaielewa ni Kurusha risasi na kuumiza Hadi kufa hivyo kutochekeana kuliko maanishwa ni hivyo....
 
Hivi kawahi kukemea utekaji huyu PM wetu?
 
Ilikuaje polisi wakaua watu oktoba 29 na tunaona hawaui siku zingine?
"Hawaui siku zingine!!' Unamaanisha nini? Hawa wanaotekwa na hawaonekani tena unao nyumbani kwako??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…