Waziri fakeMwigulu anyimwe mic tafadhali anazidi kukera
----------
Waziri Mkuu wa Tanzania Dkt. Mwigulu Nchemba, amevituhumu vyama vya upinzani, hususan CHADEMA, kwa kile alichodai kuwa ni mkakati wa kutaka kuingiza nchi kwenye machafuko kwa kutumia kigezo cha mabadiliko ya Katiba ili kuchelewesha Uchaguzi Mkuu uliopita.
Akizungumza hivi karibuni na wananchi wa Bunju, Wilaya ya Kinondoni mkoani Dar es Salaam wakati wa ziara ya kukagua ujenzi wa soko na kituo cha mabasi, Dkt. Mwigulu alidai kuwa upinzani ulikuwa na mpango wa kusogeza mbele uchaguzi ili muda wa kikatiba wa Serikali uishe, jambo ambalo lingetoa mwanya wa kuitisha maandamano ya kuing'oa Serikali madarakani.
Waziri Mkuu alifafanua kuwa Katiba haiwezi kubadilishwa kupitia makubaliano ya vyama vya siasa pekee, bali ni mchakato unaohitaji kura za Watanzania wote.
Akigusia suala la ushindani katika uchaguzi huo, Dkt. Mwigulu alilinganisha hali hiyo na michezo, akisema kuwa wale walioamua kutoshiriki kwa ridhaa yao wasilalamike kuhusu ukubwa wa ushindi wa waliokuwepo uwanjani.
ukisoma au kusikiliza sera za ccmu , huwa wanajieleza kbs kuwa hawapo tyr kukubaliana maoni ya raia labda mpk vitaMwigulu anyimwe mic tafadhali anazidi kukera
----------
Waziri Mkuu wa Tanzania Dkt. Mwigulu Nchemba, amevituhumu vyama vya upinzani, hususan CHADEMA, kwa kile alichodai kuwa ni mkakati wa kutaka kuingiza nchi kwenye machafuko kwa kutumia kigezo cha mabadiliko ya Katiba ili kuchelewesha Uchaguzi Mkuu uliopita.
Akizungumza hivi karibuni na wananchi wa Bunju, Wilaya ya Kinondoni mkoani Dar es Salaam wakati wa ziara ya kukagua ujenzi wa soko na kituo cha mabasi, Dkt. Mwigulu alidai kuwa upinzani ulikuwa na mpango wa kusogeza mbele uchaguzi ili muda wa kikatiba wa Serikali uishe, jambo ambalo lingetoa mwanya wa kuitisha maandamano ya kuing'oa Serikali madarakani.
Waziri Mkuu alifafanua kuwa Katiba haiwezi kubadilishwa kupitia makubaliano ya vyama vya siasa pekee, bali ni mchakato unaohitaji kura za Watanzania wote.
Akigusia suala la ushindani katika uchaguzi huo, Dkt. Mwigulu alilinganisha hali hiyo na michezo, akisema kuwa wale walioamua kutoshiriki kwa ridhaa yao wasilalamike kuhusu ukubwa wa ushindi wa waliokuwepo uwanjani.
Halafu wanakuja kutaka maridhiano wakati kuchelewesha uchaguzi ilikuwa ni njia ya kuepusha hali tuliyonayo sasaukisoma au kusikiliza sera za ccmu , huwa wanajieleza kbs kuwa hawapo tyr kukubaliana maoni ya raia labda mpk vita
Hata wananchi wanashangaa.Mwigulu anyimwe mic tafadhali anazidi kukera
----------
Waziri Mkuu wa Tanzania Dkt. Mwigulu Nchemba, amevituhumu vyama vya upinzani, hususan CHADEMA, kwa kile alichodai kuwa ni mkakati wa kutaka kuingiza nchi kwenye machafuko kwa kutumia kigezo cha mabadiliko ya Katiba ili kuchelewesha Uchaguzi Mkuu uliopita.
Akizungumza hivi karibuni na wananchi wa Bunju, Wilaya ya Kinondoni mkoani Dar es Salaam wakati wa ziara ya kukagua ujenzi wa soko na kituo cha mabasi, Dkt. Mwigulu alidai kuwa upinzani ulikuwa na mpango wa kusogeza mbele uchaguzi ili muda wa kikatiba wa Serikali uishe, jambo ambalo lingetoa mwanya wa kuitisha maandamano ya kuing'oa Serikali madarakani.
Waziri Mkuu alifafanua kuwa Katiba haiwezi kubadilishwa kupitia makubaliano ya vyama vya siasa pekee, bali ni mchakato unaohitaji kura za Watanzania wote.
Akigusia suala la ushindani katika uchaguzi huo, Dkt. Mwigulu alilinganisha hali hiyo na michezo, akisema kuwa wale walioamua kutoshiriki kwa ridhaa yao wasilalamike kuhusu ukubwa wa ushindi wa waliokuwepo uwanjani.
Kuna tatizo hujitokeza kwa watu wengi waliopitia kazi ya kuchunga mifugo utotoni.Huwa wanasharabu tabia na akili za wanyama hao zinawaingia kwenye nafsi zao.Na sasa ndiyo tunashuhudia matokeo.Mbona ana akili ndogo kiasi hiki? Hii nchi kusonga mbele kwa watawala wa aina hii ngumu labda miujiza
Huyu jamaa mpaka leo huwa najiuliza alipataje Uwaziri Mkuu. Real sad to have this kind people.Mwigulu anyimwe mic tafadhali anazidi kukera
----------
Waziri Mkuu wa Tanzania Dkt. Mwigulu Nchemba, amevituhumu vyama vya upinzani, hususan CHADEMA, kwa kile alichodai kuwa ni mkakati wa kutaka kuingiza nchi kwenye machafuko kwa kutumia kigezo cha mabadiliko ya Katiba ili kuchelewesha Uchaguzi Mkuu uliopita.
Akizungumza hivi karibuni na wananchi wa Bunju, Wilaya ya Kinondoni mkoani Dar es Salaam wakati wa ziara ya kukagua ujenzi wa soko na kituo cha mabasi, Dkt. Mwigulu alidai kuwa upinzani ulikuwa na mpango wa kusogeza mbele uchaguzi ili muda wa kikatiba wa Serikali uishe, jambo ambalo lingetoa mwanya wa kuitisha maandamano ya kuing'oa Serikali madarakani.
Waziri Mkuu alifafanua kuwa Katiba haiwezi kubadilishwa kupitia makubaliano ya vyama vya siasa pekee, bali ni mchakato unaohitaji kura za Watanzania wote.
Akigusia suala la ushindani katika uchaguzi huo, Dkt. Mwigulu alilinganisha hali hiyo na michezo, akisema kuwa wale walioamua kutoshiriki kwa ridhaa yao wasilalamike kuhusu ukubwa wa ushindi wa waliokuwepo uwanjani.
Kuna ndugu yetu mmoja kutoka Kenya alisema yafuatayo baada ya kusikiliza bunge la Gen Z. "Nilidhani Watanzania ni watu wenye uelewa mdogo, wasiojua vyema hata lugha ya kiingereza, ila nimekuja kugundua sivyo ilivyo bali Tanzania wajinga na wapumbavu wachache ndio wana platform ya kusikika ila kuna watu wengi sana wa maana wako Tanzania ila hawasikiki kwa sababu ndani ya Tanzania wenye mamlaka ni wajinga na wapumbavu wanaoogapa mawazo ya werevu (watu wa maana)."
Mfano si hata nyie mnaona watu wa maana kabisa kwenye field ya sheria kama TAL anawekwa gerezani ilhali vilaza kama kina Hamza Johari wanatamba kwenye ofisi za umma.
kiukwel wanaamin huko tunapoenda hatutafika ila amin tutafika maana hawatak kubadil njiaHalafu wanakuja kutaka maridhiano wakati kuchelewesha uchaguzi ilikuwa ni njia ya kuepusha hali tuliyonayo sasa