PostGE2025 Mwigulu: Walipanga kuchelewesha uchaguzi ili kuingiza nchi vitani

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections
Mwigulu anyimwe mic tafadhali anazidi kukera :Angy:

----------
Waziri Mkuu wa Tanzania Dkt. Mwigulu Nchemba, amevituhumu vyama vya upinzani, hususan CHADEMA, kwa kile alichodai kuwa ni mkakati wa kutaka kuingiza nchi kwenye machafuko kwa kutumia kigezo cha mabadiliko ya Katiba ili kuchelewesha Uchaguzi Mkuu uliopita.

Akizungumza hivi karibuni na wananchi wa Bunju, Wilaya ya Kinondoni mkoani Dar es Salaam wakati wa ziara ya kukagua ujenzi wa soko na kituo cha mabasi, Dkt. Mwigulu alidai kuwa upinzani ulikuwa na mpango wa kusogeza mbele uchaguzi ili muda wa kikatiba wa Serikali uishe, jambo ambalo lingetoa mwanya wa kuitisha maandamano ya kuing'oa Serikali madarakani.

Waziri Mkuu alifafanua kuwa Katiba haiwezi kubadilishwa kupitia makubaliano ya vyama vya siasa pekee, bali ni mchakato unaohitaji kura za Watanzania wote.

Akigusia suala la ushindani katika uchaguzi huo, Dkt. Mwigulu alilinganisha hali hiyo na michezo, akisema kuwa wale walioamua kutoshiriki kwa ridhaa yao wasilalamike kuhusu ukubwa wa ushindi wa waliokuwepo uwanjani.
Hivi Kwa Sasa nani ni katibu Wa itikadi na uenezi Wa MaCCM??
 
Hivi huyu jamaa ana akili sawasawa au anafikiti ansoongea nao ndiyo hawana akili...!!?

Sasa intelligence ya Muliro ambayo huwa inaona future walishindwaje kuona hayo ansyoyaona Mwigulu leo....!?
 
Mwigulu anyimwe mic tafadhali anazidi kukera :Angy:

----------
Waziri Mkuu wa Tanzania Dkt. Mwigulu Nchemba, amevituhumu vyama vya upinzani, hususan CHADEMA, kwa kile alichodai kuwa ni mkakati wa kutaka kuingiza nchi kwenye machafuko kwa kutumia kigezo cha mabadiliko ya Katiba ili kuchelewesha Uchaguzi Mkuu uliopita.

Akizungumza hivi karibuni na wananchi wa Bunju, Wilaya ya Kinondoni mkoani Dar es Salaam wakati wa ziara ya kukagua ujenzi wa soko na kituo cha mabasi, Dkt. Mwigulu alidai kuwa upinzani ulikuwa na mpango wa kusogeza mbele uchaguzi ili muda wa kikatiba wa Serikali uishe, jambo ambalo lingetoa mwanya wa kuitisha maandamano ya kuing'oa Serikali madarakani.

Waziri Mkuu alifafanua kuwa Katiba haiwezi kubadilishwa kupitia makubaliano ya vyama vya siasa pekee, bali ni mchakato unaohitaji kura za Watanzania wote.

Akigusia suala la ushindani katika uchaguzi huo, Dkt. Mwigulu alilinganisha hali hiyo na michezo, akisema kuwa wale walioamua kutoshiriki kwa ridhaa yao wasilalamike kuhusu ukubwa wa ushindi wa waliokuwepo uwanjani.
Wajinga walitaka kuleta anarchy (machafuko) bila kujali ukubwa wa miradi ambayo kwa sasa ipo njiani.

Lengo mzungu aje atawale tena halafu wao wawe madalali kwa ujanja wao huo.
 
Mwigulu anyimwe mic tafadhali anazidi kukera :Angy:

----------
Waziri Mkuu wa Tanzania Dkt. Mwigulu Nchemba, amevituhumu vyama vya upinzani, hususan CHADEMA, kwa kile alichodai kuwa ni mkakati wa kutaka kuingiza nchi kwenye machafuko kwa kutumia kigezo cha mabadiliko ya Katiba ili kuchelewesha Uchaguzi Mkuu uliopita.

Akizungumza hivi karibuni na wananchi wa Bunju, Wilaya ya Kinondoni mkoani Dar es Salaam wakati wa ziara ya kukagua ujenzi wa soko na kituo cha mabasi, Dkt. Mwigulu alidai kuwa upinzani ulikuwa na mpango wa kusogeza mbele uchaguzi ili muda wa kikatiba wa Serikali uishe, jambo ambalo lingetoa mwanya wa kuitisha maandamano ya kuing'oa Serikali madarakani.

Waziri Mkuu alifafanua kuwa Katiba haiwezi kubadilishwa kupitia makubaliano ya vyama vya siasa pekee, bali ni mchakato unaohitaji kura za Watanzania wote.

Akigusia suala la ushindani katika uchaguzi huo, Dkt. Mwigulu alilinganisha hali hiyo na michezo, akisema kuwa wale walioamua kutoshiriki kwa ridhaa yao wasilalamike kuhusu ukubwa wa ushindi wa waliokuwepo uwanjani.
Dr. Mwigulu yuko sahihi 100%:KasugaYeah:
 
Huyu pimbi hatullii ni km kuku aliyekatwa kichwa

Hivi kuna raia wanaenda kumsiliza kabisa kwenye ziara zake?!
Mzee wa maboko.
 
Mwigulu anyimwe mic tafadhali anazidi kukera :Angy:

----------
Waziri Mkuu wa Tanzania Dkt. Mwigulu Nchemba, amevituhumu vyama vya upinzani, hususan CHADEMA, kwa kile alichodai kuwa ni mkakati wa kutaka kuingiza nchi kwenye machafuko kwa kutumia kigezo cha mabadiliko ya Katiba ili kuchelewesha Uchaguzi Mkuu uliopita.

Akizungumza hivi karibuni na wananchi wa Bunju, Wilaya ya Kinondoni mkoani Dar es Salaam wakati wa ziara ya kukagua ujenzi wa soko na kituo cha mabasi, Dkt. Mwigulu alidai kuwa upinzani ulikuwa na mpango wa kusogeza mbele uchaguzi ili muda wa kikatiba wa Serikali uishe, jambo ambalo lingetoa mwanya wa kuitisha maandamano ya kuing'oa Serikali madarakani.

Waziri Mkuu alifafanua kuwa Katiba haiwezi kubadilishwa kupitia makubaliano ya vyama vya siasa pekee, bali ni mchakato unaohitaji kura za Watanzania wote.

Akigusia suala la ushindani katika uchaguzi huo, Dkt. Mwigulu alilinganisha hali hiyo na michezo, akisema kuwa wale walioamua kutoshiriki kwa ridhaa yao wasilalamike kuhusu ukubwa wa ushindi wa waliokuwepo uwanjani.
Kubwa Jinga.
 
Back
Top Bottom