Hivi Kwa Sasa nani ni katibu Wa itikadi na uenezi Wa MaCCM??Mwigulu anyimwe mic tafadhali anazidi kukera
----------
Waziri Mkuu wa Tanzania Dkt. Mwigulu Nchemba, amevituhumu vyama vya upinzani, hususan CHADEMA, kwa kile alichodai kuwa ni mkakati wa kutaka kuingiza nchi kwenye machafuko kwa kutumia kigezo cha mabadiliko ya Katiba ili kuchelewesha Uchaguzi Mkuu uliopita.
Akizungumza hivi karibuni na wananchi wa Bunju, Wilaya ya Kinondoni mkoani Dar es Salaam wakati wa ziara ya kukagua ujenzi wa soko na kituo cha mabasi, Dkt. Mwigulu alidai kuwa upinzani ulikuwa na mpango wa kusogeza mbele uchaguzi ili muda wa kikatiba wa Serikali uishe, jambo ambalo lingetoa mwanya wa kuitisha maandamano ya kuing'oa Serikali madarakani.
Waziri Mkuu alifafanua kuwa Katiba haiwezi kubadilishwa kupitia makubaliano ya vyama vya siasa pekee, bali ni mchakato unaohitaji kura za Watanzania wote.
Akigusia suala la ushindani katika uchaguzi huo, Dkt. Mwigulu alilinganisha hali hiyo na michezo, akisema kuwa wale walioamua kutoshiriki kwa ridhaa yao wasilalamike kuhusu ukubwa wa ushindi wa waliokuwepo uwanjani.
Hivi huyu jamaa ana akili sawasawa au anafikiti ansoongea nao ndiyo hawana akili...!!?Mwigulu anyimwe mic tafadhali anazidi kukera
----------
Waziri Mkuu wa Tanzania Dkt. Mwigulu Nchemba, amevituhumu vyama vya upinzani, hususan CHADEMA, kwa kile alichodai kuwa ni mkakati wa kutaka kuingiza nchi kwenye machafuko kwa kutumia kigezo cha mabadiliko ya Katiba ili kuchelewesha Uchaguzi Mkuu uliopita.
Akizungumza hivi karibuni na wananchi wa Bunju, Wilaya ya Kinondoni mkoani Dar es Salaam wakati wa ziara ya kukagua ujenzi wa soko na kituo cha mabasi, Dkt. Mwigulu alidai kuwa upinzani ulikuwa na mpango wa kusogeza mbele uchaguzi ili muda wa kikatiba wa Serikali uishe, jambo ambalo lingetoa mwanya wa kuitisha maandamano ya kuing'oa Serikali madarakani.
Waziri Mkuu alifafanua kuwa Katiba haiwezi kubadilishwa kupitia makubaliano ya vyama vya siasa pekee, bali ni mchakato unaohitaji kura za Watanzania wote.
Akigusia suala la ushindani katika uchaguzi huo, Dkt. Mwigulu alilinganisha hali hiyo na michezo, akisema kuwa wale walioamua kutoshiriki kwa ridhaa yao wasilalamike kuhusu ukubwa wa ushindi wa waliokuwepo uwanjani.
Wajinga walitaka kuleta anarchy (machafuko) bila kujali ukubwa wa miradi ambayo kwa sasa ipo njiani.Mwigulu anyimwe mic tafadhali anazidi kukera
----------
Waziri Mkuu wa Tanzania Dkt. Mwigulu Nchemba, amevituhumu vyama vya upinzani, hususan CHADEMA, kwa kile alichodai kuwa ni mkakati wa kutaka kuingiza nchi kwenye machafuko kwa kutumia kigezo cha mabadiliko ya Katiba ili kuchelewesha Uchaguzi Mkuu uliopita.
Akizungumza hivi karibuni na wananchi wa Bunju, Wilaya ya Kinondoni mkoani Dar es Salaam wakati wa ziara ya kukagua ujenzi wa soko na kituo cha mabasi, Dkt. Mwigulu alidai kuwa upinzani ulikuwa na mpango wa kusogeza mbele uchaguzi ili muda wa kikatiba wa Serikali uishe, jambo ambalo lingetoa mwanya wa kuitisha maandamano ya kuing'oa Serikali madarakani.
Waziri Mkuu alifafanua kuwa Katiba haiwezi kubadilishwa kupitia makubaliano ya vyama vya siasa pekee, bali ni mchakato unaohitaji kura za Watanzania wote.
Akigusia suala la ushindani katika uchaguzi huo, Dkt. Mwigulu alilinganisha hali hiyo na michezo, akisema kuwa wale walioamua kutoshiriki kwa ridhaa yao wasilalamike kuhusu ukubwa wa ushindi wa waliokuwepo uwanjani.
Dr. Mwigulu yuko sahihi 100%Mwigulu anyimwe mic tafadhali anazidi kukera

Kubwa Jinga.Mwigulu anyimwe mic tafadhali anazidi kukera

Chadema haihusiki na maridhianoHalafu wanakuja kutaka maridhiano wakati kuchelewesha uchaguzi ilikuwa ni njia ya kuepusha hali tuliyonayo sasa
Phd in ujinga & ushamba developmentMbona ana akili ndogo kiasi hiki? Hii nchi kusonga mbele kwa watawala wa aina hii ngumu labda miujiza