Waziri wa Fedha Dkt. Mwigulu Nchemba amesema Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) walikuwa wanafahamu kuhusu uwezo wa viongozi waliochaguliwa ndani ya chama lakini wanachama wa CHADEMA wao wenyewe ndio walikuwa wakiaminisha watu kwamba Mwenyekiti wao Tundu Lissu hatoshi katika nafasi hiyo
Mwigulu ameyasema hayo tarehe 13 Februari, 2025 Bungeni Jijini Dodoma wakati akichangia Taarifa ya ya Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Hesabu za Serikali za Mitaa (LAAC
"Dada yangu Esther akisema kwamba Tundu Lissu anaweza, na Mnyika anaweza na Heche anaweza, Mwenyekiti sisi wenyewe tulikuwa tunajua anaweza, lakini wao ndo walisema hatoshi hata kuwa Mwenyekiti wa Kitongoji kwahiyo sio sisi ni wao, sisi tulishafanya naye kazi kwenye Kamati humu", amesema Mwigulu.
Mwigulu aliinuka kuzungumza baada ya Mbunge wa Viti Maalum, Esther Bulaya kusema Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Tundu Lissu anao uwezo wa kukiongoza chama hicho na kukifikisha kwenye demokrasia ya kweli.

Umenifurahisa sana ndugu Samiaagain2025 ,ila kuna kitu kinanistaajabisha!
Mwigulu anakuwaje mwizi ambaye wewe chawa wa mama unajua, lakini unaendelea kumpigia debe huyo anayeendelea kumuamini mwizi Madelu awe rais 2025!!??
Au ndio ile ya "nyama ya nguruwe ni haramu ila mchuzi ni halal"!!??
Waziri wa Fedha Dkt. Mwigulu Nchemba amesema Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) walikuwa wanafahamu kuhusu uwezo wa viongozi waliochaguliwa ndani ya chama lakini wanachama wa CHADEMA wao wenyewe ndio walikuwa wakiaminisha watu kwamba Mwenyekiti wao Tundu Lissu hatoshi katika nafasi hiyo
Mwigulu ameyasema hayo tarehe 13 Februari, 2025 Bungeni Jijini Dodoma wakati akichangia Taarifa ya ya Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Hesabu za Serikali za Mitaa (LAAC
"Dada yangu Esther akisema kwamba Tundu Lissu anaweza, na Mnyika anaweza na Heche anaweza, Mwenyekiti sisi wenyewe tulikuwa tunajua anaweza, lakini wao ndo walisema hatoshi hata kuwa Mwenyekiti wa Kitongoji kwahiyo sio sisi ni wao, sisi tulishafanya naye kazi kwenye Kamati humu", amesema Mwigulu.
Mwigulu aliinuka kuzungumza baada ya Mbunge wa Viti Maalum, Esther Bulaya kusema Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Tundu Lissu anao uwezo wa kukiongoza chama hicho na kukifikisha kwenye demokrasia ya kweli.
Hebu jamani tumtumie japo akili kidogo. Hivi unaposema wanachadema wanajua Lisu hafai kuwa kiongozi hata wa kitongoji je ni nani na chama Gani Sasa kimemchagua kuwa m.kiti wa Chadema?