Analogia Malenga
JF-Expert Member
- Feb 24, 2012
- 5,108
- 10,191
Hiki kichwa hakijawahi kupanga kikafanikiwa yaani tabu tupu!Waziri wa Fedha na Mipango Dkt. Mwigulu Nchemba amesema wananchi wasiwaze kuhusu gharama za miamala ya simu kwa kuwa mzunguko wa fedha utaongezeka...
Sisi wote tunadaiwa, sasa watukopeshe ili tulipe denk la Taifa walilotuingizaKwani kila mwananchi anaidai serikali? huu uongo wake hautoshi, angesema serikali imejiandaa kugawa fedha kama pipi mitaani ningemuelewa.
Waziri wa Fedha na Mipango Dkt. Mwigulu Nchemba amesema wananchi wasiwaze kuhusu gharama za miamala ya simu kwa kuwa mzunguko wa fedha utaongezeka
Akiongea katika kipindi cha Aridhio, TBC amesema gharama za miamala hazina maana kwa kuwa watakuwa wanapata fedha zaidi katika kipindi hichi
Amesema serikali imejipanga kulipa madeni ili wananchi wawe na fedha
Ndivyo wanavyomdanganya Mama Samia, kila akitaka kuongea wanamwambia mama kaa kimya hawa watazoea. Safari hii hatuzoei.Kumbe Washajua waTanzania ni watu wa kuzoea zoea