mugah di matheo
JF-Expert Member
- Jul 28, 2018
- 6,307
- 12,410
Duuh
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Cha maana ni kupanga upya mtiririko mzima wa matumizi. Naamini serikali ingeweza kabisa kuamua isitoze kodi ili wananchi wasiumie mifukoni.Duh naona hauelewi
Hivi kuongeza kodi kwenye mbegu na mbolea kuna tija ? , Kama issue ni pesa tu kwanini tusiongeze huko pia ? Ila utaona kwamba huu ni mtiririko chain fulani ambayo ni kama mto badala ya kulishia mifugo yako kwenye chanzo cha mto ni bora ukalishia mwishoni mwa mto ili hayo maji yawe yamefanya mengine kabla wewe haujayapata...
Vinginevyo ni kuchafua maji ambayo yatakuwa hayana maana tena.
Kuruhusu Wawekezeji..halafu sikiliza usinichonganishe na Mama.Sasa kufungua nchi si ndio huko?
Hivi mkuu tunaongea kueleweshana ili kutafuta njia mbadala na suluhisho au tunaongea ili mradi tubishane na kufanya justification ?Cha maana ni kupanga upya mtiririko mzima wa matumizi. Naamini serikali ingeweza kabisa kuamua isitoze kodi ili wananchi wasiumie mifukoni.
Lakini ni kitu kisichowezekana, hata hiyo mbolea upatikanaji wake una gharama zake na lazima pesa itumikayo irudishwe.
Tunataka huko vijijini wanafunzi wasiendelee kudhalilika, tunataka wajawazito wapunguziwe machungu.
Tunataka mengi mapya yatakayotupeleka uchumi wa kati na ule wa juu sasa gharama za kufika huko ni lazima zituhusu sisi watanzania.
Kabisa... tena anasema "watazoea" dah,mimi nilijua tunajenga barabara kumbe tunailipia serikali madeni!!Hiyo dharau.
Katika mawaziri vimeo wa fedha kutokea tz huyu n no 1.Waziri wa Fedha na Mipango Dkt. Mwigulu Nchemba amesema wananchi wasiwaze kuhusu gharama za miamala ya simu kwa Katika mawziri mzunguko wa fedha utaongezeka
Akiongea katika kipindi cha Aridhio, TBC amesema gharama za miamala hazina maana kwa kuwa watakuwa wanapata fedha zaidi katika kipindi hichi
Amesema serikali imejipanga kulipa madeni ili wananchi wawe na fedha
Huyu ni Makamu RaisWaziri wa Fedha na Mipango Dkt. Mwigulu Nchemba amesema wananchi wasiwaze kuhusu gharama za miamala ya simu kwa kuwa mzunguko wa fedha utaongezeka
Akiongea katika kipindi cha Aridhio, TBC amesema gharama za miamala hazina maana kwa kuwa watakuwa wanapata fedha zaidi katika kipindi hichi
Amesema serikali imejipanga kulipa madeni ili wananchi wawe na fedha
hizi hawa viongozi huwa wanafikiri kwa kutumia masaburi au...kwahiyo yeye sifa kujaza fedha nyingi na kutengeneza mfumuko wa bei..tujiandae Dollar kuuzwa elfu 5
Maneno ya kipuuzi toka kwa wazir mpuuziWaziri wa Fedha na Mipango Dkt. Mwigulu Nchemba amesema wananchi wasiwaze kuhusu gharama za miamala ya simu kwa kuwa mzunguko wa fedha utaongezeka
Akiongea katika kipindi cha Aridhio, TBC amesema gharama za miamala hazina maana kwa kuwa watakuwa wanapata fedha zaidi katika kipindi hichi
Amesema serikali imejipanga kulipa madeni ili wananchi wawe na fedha
na sio za afya na ualim tu, umekariri kuwa ajira ni za afya na ualim tu, watoe na ajira za kada nyingine waache kukariri maisha.Ila watanzania pia tujaribu kushauri ..je ingefanyika kitu gani ili serikali ipate fedha za kugharimia vitu kama barabara za lami vijijini..shuke zilizobireka vijijin..na kutoa ahira za walimu na watu wa afya..Naomba tutoe mawazo
Hizo pesa wafidie za miamalaWaziri wa Fedha na Mipango Dkt. Mwigulu Nchemba amesema wananchi wasiwaze kuhusu gharama za miamala ya simu kwa kuwa mzunguko wa fedha utaongezeka
Akiongea katika kipindi cha Aridhio, TBC amesema gharama za miamala hazina maana kwa kuwa watakuwa wanapata fedha zaidi katika kipindi hichi
Amesema serikali imejipanga kulipa madeni ili wananchi wawe na fedha
*Kupata vichekesho vingine kama hivi tubonyeze ngapi?