Shujaa Mwendazake
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 4,016
- 6,759
Waziri wa Fedha, Dkt. Mwigulu Nchemba amesema serikali itaingiza fedha nyingi kwenye uchumi kukuza mzunguko wa fedha ili kuondoa malalamiko ya wananchi kuhusu makato. Amesema malalamiko hayo ni kwa vile mtu akikatwa hajui atapata lini nyingine, ila fedha zikiwa nyingi, yataisha.