Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
I bet humor and sacarsm are beyond your reachKuna watu mna akili sijui ziko makalioni?!! Sasa jitu kama wewe hapa umeongea nini?
Jitu mbovu sn hiliWaziri wa Fedha na Mipango Dkt. Mwigulu Nchemba amesema wananchi wasiwaze kuhusu gharama za miamala ya simu kwa kuwa mzunguko wa fedha utaongezeka
Akiongea katika kipindi cha Aridhio, TBC amesema gharama za miamala hazina maana kwa kuwa watakuwa wanapata fedha zaidi katika kipindi hichi
Amesema serikali imejipanga kulipa madeni ili wananchi wawe na fedha
View attachment 1857046
Waziri wa Fedha na Mipango Dkt. Mwigulu Nchemba amesema wananchi wasiwaze kuhusu gharama za miamala ya simu kwa kuwa mzunguko wa fedha utaongezeka
Akiongea katika kipindi cha Aridhio, TBC amesema gharama za miamala hazina maana kwa kuwa watakuwa wanapata fedha zaidi katika kipindi hichi
Amesema serikali imejipanga kulipa madeni ili wananchi wawe na fedha
View attachment 1857046
Hatari snNi kweli kabisa watumishi wakilipwa watu wajue kwamba hao waliolipwa watakuwa na hela za kununua magimbi mihogo mahindi na mifugo mfano kuku wa kuchinja kutoka kwa wananchi wa kawaida hivyo kuongeza mzunguko wa hela na kila mtu anayefanya kazi atafaidi
Akili matope kabisa huyu. Sequential flow na logic hana kbsa kwenye thinking yake.Waziri wa Fedha na Mipango Dkt. Mwigulu Nchemba amesema wananchi wasiwaze kuhusu gharama za miamala ya simu kwa kuwa mzunguko wa fedha utaongezeka
Akiongea katika kipindi cha Aridhio, TBC amesema gharama za miamala hazina maana kwa kuwa watakuwa wanapata fedha zaidi katika kipindi hichi
Amesema serikali imejipanga kulipa madeni ili wananchi wawe na fedha
View attachment 1857046
Halafu pale wizara ya fedha ,huwa wanajitchotea ,tunakatwa makodi halafu Kesho na keshokutwa unasikia wizara ya fedha imejilipa 1.6B Kama posho ya kuanda taarifa ya mpango wa manunuziWaziri wa Fedha na Mipango Dkt. Mwigulu Nchemba amesema wananchi wasiwaze kuhusu gharama za miamala ya simu kwa kuwa mzunguko wa fedha utaongezeka
Akiongea katika kipindi cha Aridhio, TBC amesema gharama za miamala hazina maana kwa kuwa watakuwa wanapata fedha zaidi katika kipindi hichi
Amesema serikali imejipanga kulipa madeni ili wananchi wawe na fedha
View attachment 1857046
Sio kweli kuhusu wanyiramba. Matatizo ya mtu binafsi hayana uhusiano na kabila analotokea. Kama yeye umeona ana mapungufu usihusishe na watu wa kabila analotokea kuwa wote ni sawa.Nimepata sababu ni kwanini watu wengi wa hapa Arusha wanawadharau sana watu wa kabila la Wanyiramba aseeee daaaah! sio kwa pumba hii aliyokuja nayo waziri