Mwigulu: Wananchi wanaenda kupata fedha nyingi, watazoea makato

Huyu ndiye PhD holder wa uchumi!!! "It is a pity to have such leaders"!
 
Ila watanzania pia tujaribu kushauri ..je ingefanyika kitu gani ili serikali ipate fedha za kugharimia vitu kama barabara za lami vijijini..shuke zilizobireka vijijin..na kutoa ahira za walimu na watu wa afya..Naomba tutoe mawazo
Nashauri wabunge malipo yao kwa mwezi kuanzia mshahara hadi posho isizidi milioni 4, kile kinachozidi kihamishiwe huko
 
Hii inadhihirisha kuwa viongozi tulionao wamechoka kufikiri na kutafiti. Ni wakati muafaka kwao kuachia ngazi.
 
Swali fikirish Kwanini mlikuwa hamlipi madeni
 
Duh, jamaa anaendelea kukaza kamba, sijui lini atalegeza!
 
"pesa ya bure bure/ nyingi mtaani zilikuwa za mafisadi na wauza unga" ....... Mwigulu alikuwa akizema hivyo enzi za Magufuli.
 
Ni taabu sana na wasomi wetu - badala ya kutetea uhalali wanachokifanya wao wanatumia muda kuelezea matokeo na matarajio ya wanachokifanya. Hovyo sana!

Yaani kuzoeleka kwa tozo ndio uhalali wake? Ee Mungu.
 
Wakafie mbali huko
 
Tulifurahia mindege kununuliwa kwa malipo cash. Sasa cash ndo tunairejesha hazina kwa style hiyo ya solidarity fund. Donor contre sasa imegeuka kuwa solidarity contre
Ndege tulilipa kwa dollars hizi hela za nauli zann?
 
Nashauri wabunge malipo yao kwa mwezi kuanzia mshahara hadi posho isizidi milioni 4, kile kinachozidi kihamishiwe huko
Eti nini? Dogo acha zako Aisee. Yani tulipwe milion 4?
 
Ila watanzania pia tujaribu kushauri ..je ingefanyika kitu gani ili serikali ipate fedha za kugharimia vitu kama barabara za lami vijijini..shuke zilizobireka vijijin..na kutoa ahira za walimu na watu wa afya..Naomba tutoe mawazo
Kwani JPM aliwezaje kupata pesa za miradi hiyo. Kuhusu barabara kuna Road Fund ilianzishwa wakati wa Mkapa. Income tax inafanya kazi gani? Sales Tax zinafanya kazi gani? Kabla ya Rais SSH Serikali ilikuwa inapata wapi pesa? Huwezi kuwaacha wafanya biashara walipe wanazotaka lakini unachukua double taxation kutoka kwa walalahoi - Aibu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…