Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sky umeondokaje honey bila kuniaga mumeo?Tumeshafika Bunjumbura kurudi ni majaliwa.
Gaidi si yuko mmoja tu na ameshadakwa?Hii nchi ina magaidi sio ya kuwekeza
Sabaya atammnanihiii😂😂😂Sasa huyu gaidi feki Mbowe akipelekwa gereza la Kisongo si atakutana na gaidi original Sabaya!??
Au kuna njama za kumtumia Sabaya kumuua Mbowe huko gerezani??
Mwigulu Nchemba anajiandaa kumpindua Samia Suluhu Hassani ifikapo 2015 ???“Wewe Mtanzania usiikimbie nchi yako, tutarekebisha matatizo, lakini kama umepata fursa ya kuwekeza huko, wekeza!
Laniki usiikimbie nchi yako kwa sababu ya matatizo”.Waziri Nchemba
Pia soma > Mwigulu Nchemba awaambia Watanzania wahamie Burundi wasipoweza kulipa tozo za miamala
Source : Radio 1
Hatuna imani na Mwigulu tena“Wewe Mtanzania usiikimbie nchi yako, tutarekebisha matatizo, lakini kama umepata fursa ya kuwekeza huko, wekeza!
Laniki usiikimbie nchi yako kwa sababu ya matatizo”.Waziri Nchemba
Pia soma > Mwigulu Nchemba awaambia Watanzania wahamie Burundi wasipoweza kulipa tozo za miamala
Source : Radio 1
Ni kheri huku Burundi ninajijua ni mkimbizi kuliko kukaa kwenye nchi ambayo inasemekana nina haki lakini hata udiwani huwezi kuupata kama si mwana CCM.Sky umeondokaje honey bila kuniaga mumeo?
Hahahaha pole hyo fanya hasara kama hasara zingine ulizowahi kupataNauli atarudisha, Nishafika nyanza naitafu bujumbura 🙄
Teh teh teheee!!!!Sky umeondokaje honey bila kuniaga mumeo?
Ameanza kampeni za urais 2025.“Wewe Mtanzania usiikimbie nchi yako, tutarekebisha matatizo, lakini kama umepata fursa ya kuwekeza huko, wekeza!
Laniki usiikimbie nchi yako kwa sababu ya matatizo”.Waziri Nchemba
Pia soma > Mwigulu Nchemba awaambia Watanzania wahamie Burundi wasipoweza kulipa tozo za miamala
Source : Radio 1