Mwigulu: Watanzania msikimbie nchi tutarekebisha makosa

Mwigulu: Watanzania msikimbie nchi tutarekebisha makosa

Nimeshafika hapa Bujumbura.

Wakaazi wa hapa wananifahamu kama Pepranzima Yves Guardiolanzimana.
 
Unatumiwa na shetani. Mungu hawezi kuwa na furaha kiumbe wake anapoteswa kwa kusingiziwa. Hiyo yako ni ya kishetani. Jiulize mara mbili sababu ya furaha yako hiyo.
Kiumbe wa mungu anatakiwa anywe alta wine ile pombe ya mizabibu ,mbowe yeye anakunywa konyagi ngumu kumeza.
 
“Wewe Mtanzania usiikimbie nchi yako, tutarekebisha matatizo, lakini kama umepata fursa ya kuwekeza huko, wekeza!

Laniki usiikimbie nchi yako kwa sababu ya matatizo”.Waziri Nchemba

Pia soma > Mwigulu Nchemba awaambia Watanzania wahamie Burundi wasipoweza kulipa tozo za miamala

Source : Radio 1
Ametoa kauli ya KiuRais - yaani badala ya kusema WanaIramba wasiikimbie Iramba yeye anawaambia waTanzania wasikimbie nchi. Huyu bwana anautaka URais huyu! acha kabisa!
 
Ina maana hatuendi Burundi tena au vitabu vya passport vimeisha
 
Tutakwepa tu sisi ndo watanzania pesa kwenye kibubu hakuna bank wala m pesa nk
Kuwekeza nje [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Ndio maaana nnasema Baadhi ya Proccm hamna akili. Sasa hapa Mbowe anaingiaje?? JF haikua hivi, huu ni uendawazimu na kuharibu mijadala

Na tukivaa akili zao na kuwajibu inavyostahili tunafungiwa badala ya wao kufungiwa, mods jaribuni kuwa macho na waharibifu wa JF
 
huyu si alidai kuwa anaehamia Burundi na ahamie au???
 
“Wewe Mtanzania usiikimbie nchi yako, tutarekebisha matatizo, lakini kama umepata fursa ya kuwekeza huko, wekeza!

Lakini usiikimbie nchi yako kwa sababu ya matatizo”. Waziri Nchemba

Pia soma > Mwigulu Nchemba awaambia Watanzania wahamie Burundi wasipoweza kulipa tozo za miamala

Source : Radio 1
Anautamani sana urais huyu.

Inatakiwa apitishwe katika ubatizo aliopitia Lowasa- maisha yote autake na asipate mpaka azeeke na kuondoka duniani akiwa na kihoro cha kuukosa urais
 
Attachments

  • 2850007_220078589_1690389091165713_5262137292318157038_n.mp4
    2.2 MB
Hauna hata akili ya kuandika herufi ya kwanza ktk Mungu kwa herufi kubwa! Nibishane na wewe nina wazimu?
Kiumbe wa mungu anatakiwa anywe alta wine ile pombe ya mizabibu ,mbowe yeye anakunywa konyagi ngumu kumeza.
 
Back
Top Bottom