Mwigulu: Watanzania msikimbie nchi tutarekebisha makosa

Kwanini mwingulu nchemba amekaa kwenye nyasifa kubwa hivyo. Na huku hana compitioni" na nyasifa???
 
Hili jamaa lishaanza kampeni za Urais 2025 lipo na Mzee wa majipu kichwani, tunajua.
 
Mchumi mwenye phd ya makaratasi, mzee wa uchumi wa projection[emoji91][emoji91][emoji91]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…