Lord OSAGYEFO
JF-Expert Member
- Feb 19, 2021
- 3,085
- 4,890
NCHI INABAMBIKIZIA KESI WATU“Wewe Mtanzania usiikimbie nchi yako, tutarekebisha matatizo, lakini kama umepata fursa ya kuwekeza huko, wekeza!
Laniki usiikimbie nchi yako kwa sababu ya matatizo”.Waziri Nchemba
Pia soma > Mwigulu Nchemba awaambia Watanzania wahamie Burundi wasipoweza kulipa tozo za miamala
Source : Radio 1
Yaani huyu kilaza kweli!!!! Si alituambia twende Burundi!!!! Sasa Burundi hatuendi na miamala hatufanyi!!!“Wewe Mtanzania usiikimbie nchi yako, tutarekebisha matatizo, lakini kama umepata fursa ya kuwekeza huko, wekeza!
Laniki usiikimbie nchi yako kwa sababu ya matatizo”.Waziri Nchemba
Pia soma > Mwigulu Nchemba awaambia Watanzania wahamie Burundi wasipoweza kulipa tozo za miamala
Source : Radio 1
Ha ha ha! Mkuu una hasira! Ushafika!!!!!Tumeshafika Bunjumbura kurudi ni majaliwa.
Unafikiri baadhi ya Wana ccm akiwemo huyo wanaakili.Ni heri baba yako angekuwa na akili enzi za ujana wake. Angepangiwa boarding school angepiga punyeto ungepotea. Ni hasara kwa taifa watu kama wewe
Si alisema tuende Burundi, kashabadili msimamo?“Wewe Mtanzania usiikimbie nchi yako, tutarekebisha matatizo, lakini kama umepata fursa ya kuwekeza huko, wekeza!
Laniki usiikimbie nchi yako kwa sababu ya matatizo”.Waziri Nchemba
Pia soma > Mwigulu Nchemba awaambia Watanzania wahamie Burundi wasipoweza kulipa tozo za miamala
Source : Radio 1
Baada ya kukumbushwa na Ile picha akichunga ng'ombe Naona akili imerudi.Fala sana jamaa
Una uhakika gani kama amesingiziwa, kwa sababu ni kiongozi wa chama pinzani ndo amekuwa malaika kwamba hawezi kufanya makosa?!!Unatumiwa na shetani. Mungu hawezi kuwa na furaha kiumbe wake anapoteswa kwa kusingiziwa. Hiyo yako ni ya kishetani. Jiulize mara mbili sababu ya furaha yako hiyo.
Na nipo Nyanzalake we upo wapi?Nauli atarudisha, Nishafika nyanza naitafu bujumbura [emoji849]
Nipo Rumonge bado kilomita 30nifike BujumburaSi alisema tuende Burundi, kashabadili msimamo?
Ninauhakika hujaelewa kinachozungumzwa.Gaidi mbowe wampeleke gereza la kisongo
“Wewe Mtanzania usiikimbie nchi yako, tutarekebisha matatizo, lakini kama umepata fursa ya kuwekeza huko, wekeza!
Laniki usiikimbie nchi yako kwa sababu ya matatizo”.Waziri Nchemba
Pia soma > Mwigulu Nchemba awaambia Watanzania wahamie Burundi wasipoweza kulipa tozo za miamala
Source : Radio 1
Sky umeondokaje honey bila kuniaga mumeo?