PostGE2025 Mwigulu: Yeyote atakayevunja sheria akamatwe na hatua zichukuliwe kwa usawa

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections

Richer

JF-Expert Member
Joined
Jun 9, 2025
Posts
2,318
Reaction score
4,079
Waziri Mkuu wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mwigulu Nchemba, ameonya vikali kuhusu utekelezaji wa sheria kwa upendeleo, akisema tabia ya kuogopwa kwa baadhi ya watu na kuwawajibisha wengine pekee imeendelea kudhoofisha haki na uwajibikaji nchini. Amesema haiwezekani baadhi ya wakosaji kuchukuliwa hatua mara moja huku wengine wakiachwa bila madhara yoyote.

“Yeyote anayekiuka sheria anapaswa kukamatwa na kushughulikiwa sawa. Si sahihi mtu mmoja avunje sheria na akamatwe papo hapo, halafu mwingine afanye hivyo hivyo aachwe aende zake,” alisema.

Akizungumza Novemba 26, wakati wa uzinduzi wa Wiki ya Usafiri Endelevu ya kwanza nchini, Dkt. Mwigulu aliwakumbusha wataalamu na viongozi wanaoelewa sheria lakini wanazikwepa, huku akisisitiza umuhimu wa kuwalinda watumiaji wa usafiri kama waendesha bodaboda na bajaji ambao mara nyingi hawaelewi kikamilifu matakwa ya kisheria. Aliwataka viongozi kuacha matumizi ya adhabu za upendeleo na badala yake kutoa usaidizi unaoleta haki kwa wote

Tunaomba tuwekewe CV ya huyu mtu maana mimi siku hizi mtu ambae hajasoma sheria akianza kuongeaongea kuhusu sheria naacha kumsikiliza mara moja maana huwezi ukazungumzia mambo ya sheria ikiwa wewe mwenyewe sheria hauzijui... unataka kutulisha matangopori? Ndio maana kesi nyingi tukishtakiwa nje tunachezea za mbavu.. mambo yenyewe ndio km haya

Km anasema hivi yule aliewaua wale watu mpaka sasa hivi amefikishwa wapi The Hague? Dr. Mwigulu Nchemba
 
Waziri Mkuu wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mwigulu Nchemba, ameonya vikali kuhusu utekelezaji wa sheria kwa upendeleo, akisema tabia ya kuogopwa kwa baadhi ya watu na kuwawajibisha wengine pekee imeendelea kudhoofisha haki na uwajibikaji nchini. Amesema haiwezekani baadhi ya wakosaji kuchukuliwa hatua mara moja huku wengine wakiachwa bila madhara yoyote.

“Yeyote anayekiuka sheria anapaswa kukamatwa na kushughulikiwa sawa. Si sahihi mtu mmoja avunje sheria na akamatwe papo hapo, halafu mwingine afanye hivyo hivyo aachwe aende zake,” alisema.

Akizungumza Novemba 26, wakati wa uzinduzi wa Wiki ya Usafiri Endelevu ya kwanza nchini, Dkt. Mwigulu aliwakumbusha wataalamu na viongozi wanaoelewa sheria lakini wanazikwepa, huku akisisitiza umuhimu wa kuwalinda watumiaji wa usafiri kama waendesha bodaboda na bajaji ambao mara nyingi hawaelewi kikamilifu matakwa ya kisheria. Aliwataka viongozi kuacha matumizi ya adhabu za upendeleo na badala yake kutoa usaidizi unaoleta haki kwa wote

Waanze na yeye kwanza kumkamata kwa ufisadi na mauaji alioufanya na samuya
 
Muhimu kuheshimu sheria zetu zaidi. Hizo nyingine sio muhimu sana, ni shida ndio zinatufikisha huko na kuingia mikataba ya hovyo.

Ni muhimu kutathimini upya mashirikiano yetu na jumuiya za kimataifa na zile zisizo na tija ni kujiweka mbali nazo.
 
Anabwabwaja kama nani? 😳😳😳

20251124_194706.png
 
Waziri Mkuu wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mwigulu Nchemba, ameonya vikali kuhusu utekelezaji wa sheria kwa upendeleo, akisema tabia ya kuogopwa kwa baadhi ya watu na kuwawajibisha wengine pekee imeendelea kudhoofisha haki na uwajibikaji nchini. Amesema haiwezekani baadhi ya wakosaji kuchukuliwa hatua mara moja huku wengine wakiachwa bila madhara yoyote.

“Yeyote anayekiuka sheria anapaswa kukamatwa na kushughulikiwa sawa. Si sahihi mtu mmoja avunje sheria na akamatwe papo hapo, halafu mwingine afanye hivyo hivyo aachwe aende zake,” alisema.

Akizungumza Novemba 26, wakati wa uzinduzi wa Wiki ya Usafiri Endelevu ya kwanza nchini, Dkt. Mwigulu aliwakumbusha wataalamu na viongozi wanaoelewa sheria lakini wanazikwepa, huku akisisitiza umuhimu wa kuwalinda watumiaji wa usafiri kama waendesha bodaboda na bajaji ambao mara nyingi hawaelewi kikamilifu matakwa ya kisheria. Aliwataka viongozi kuacha matumizi ya adhabu za upendeleo na badala yake kutoa usaidizi unaoleta haki kwa wote

Kama kweli anamaanisha aanze kumkamata yule aliyesema atakata watu vichwa D9
 
Wao maccm wamevunja Sheria nyingi za kuwabambikia chadema kesi za uongo waanze kushitakiwa ICC?
 
Mmevunja katiba ambayo ndo sheria mama
Mmeaua maelfu ya raia wenu na kuwapa kesi za uhaini
Mmebaka uchaguzi,mmeua kuteka na kupoteza raia mchana kweupe

Kisheria unatakiwa uwe jela mda huu wewe na wenzio wotee
Anyway 9dec...
 
Hivi uyu Mwigulu anafikili ameisha yapatia ,mbona ngoma bado mbichi sana , mshaurini bado ngoma mbichi safari hii iyo tai ya bendera ya Taifa inaweza anza mkaba kila wakati
 
Mmevunja katiba ambayo ndo sheria mama
Mmeaua maelfu ya raia wenu na kuwapa kesi za uhaini
Mmebaka uchaguzi,mmeaua kuteka na kupoteza raia mchana kweupe

Kisheria unatakiwa uwe jela mda huu wewe na wenzio wotee
Anyway 9dec...
RPC mlilo alitangaza maafa ya kuua watu mapema na kweli kawaua sheria ipo wapi? Mbona hajakamatwa?
 
Hivi uyu Mwigulu anafikili ameisha yapatia ,mbona ngoma bado mbichi sana , mshaurini bado ngoma mbichi safari hii iyo tai ya bendera ya Taifa inaweza anza mkaba kila wakati
Utabiri wa marehemu Shekhe Yahya unaenda kutimia, utawala wa mabavu wa mkoloni Dikteta kaburu mama iddy Amin Dada toka Zanzibar atakimbia Nchi mda si mrefu na mwingulu ataishia jela za ICC The Hague huku uchaguzi ukirudiwa upya
 
Maccm yanatapatapa Damu za watu zimewaganda hawana pa kupenya yamesalia kubwabwaja tu wakisubiria mahakama ya ICC iwanyooshe
 
Waziri Mkuu wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mwigulu Nchemba, ameonya vikali kuhusu utekelezaji wa sheria kwa upendeleo, akisema tabia ya kuogopwa kwa baadhi ya watu na kuwawajibisha wengine pekee imeendelea kudhoofisha haki na uwajibikaji nchini. Amesema haiwezekani baadhi ya wakosaji kuchukuliwa hatua mara moja huku wengine wakiachwa bila madhara yoyote.

“Yeyote anayekiuka sheria anapaswa kukamatwa na kushughulikiwa sawa. Si sahihi mtu mmoja avunje sheria na akamatwe papo hapo, halafu mwingine afanye hivyo hivyo aachwe aende zake,” alisema.

Akizungumza Novemba 26, wakati wa uzinduzi wa Wiki ya Usafiri Endelevu ya kwanza nchini, Dkt. Mwigulu aliwakumbusha wataalamu na viongozi wanaoelewa sheria lakini wanazikwepa, huku akisisitiza umuhimu wa kuwalinda watumiaji wa usafiri kama waendesha bodaboda na bajaji ambao mara nyingi hawaelewi kikamilifu matakwa ya kisheria. Aliwataka viongozi kuacha matumizi ya adhabu za upendeleo na badala yake kutoa usaidizi unaoleta haki kwa wote

Hii inamhusu yule mzee wa kukata vichwa waandamanaji.
 
Mkuu mambo ni mazito sana , kaika ulimwengu wa kiroho, alafu aya mabaiskeli na mapikipiki wameyapeka wapi , mbona hayaonekani?
Utabiri wa marehemu Shekhe Yahya unaenda kutimia, utawala wa mabavu wa mkoloni Dikteta kaburu mama iddy Amin Dada toka Zanzibar atakimbia Nchi mda si mrefu na mwingulu ataishia jela za ICC The Hague huku uchaguzi ukirudiwa upya
 
Hii nchi kuziba viraka haitosaidia, imeshajifia kitambo na hao wanaongea wamepoteza imani kwa wananchi kitambo sana
 
Waziri Mkuu wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mwigulu Nchemba, ameonya vikali kuhusu utekelezaji wa sheria kwa upendeleo, akisema tabia ya kuogopwa kwa baadhi ya watu na kuwawajibisha wengine pekee imeendelea kudhoofisha haki na uwajibikaji nchini. Amesema haiwezekani baadhi ya wakosaji kuchukuliwa hatua mara moja huku wengine wakiachwa bila madhara yoyote.

“Yeyote anayekiuka sheria anapaswa kukamatwa na kushughulikiwa sawa. Si sahihi mtu mmoja avunje sheria na akamatwe papo hapo, halafu mwingine afanye hivyo hivyo aachwe aende zake,” alisema.

Akizungumza Novemba 26, wakati wa uzinduzi wa Wiki ya Usafiri Endelevu ya kwanza nchini, Dkt. Mwigulu aliwakumbusha wataalamu na viongozi wanaoelewa sheria lakini wanazikwepa, huku akisisitiza umuhimu wa kuwalinda watumiaji wa usafiri kama waendesha bodaboda na bajaji ambao mara nyingi hawaelewi kikamilifu matakwa ya kisheria. Aliwataka viongozi kuacha matumizi ya adhabu za upendeleo na badala yake kutoa usaidizi unaoleta haki kwa wote

Huyu Mwigulu chemba ya choo nanadhani watanganyika ni wapumbavu sana..mwambieni kachelewa sana ...akawarubuni wapumbavu ...mwigulu ni muhalifu kama samia ...ana tapatapa bure kama speaker tulia .
 
Sawa ila na yeye akipelekwa ICC kwa mujibu wa sheria asije kulalamika.
 
Back
Top Bottom