Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 376,316
- 871,876
Hapa ni Atlanta Marekani Davido akiendelea na concert yake, aliwambia mashabiki zake wanyamaze kwa Dakika moja kuwakumbuka mashujaa waliopoteza maisha Tanzania wakiwa wanapigania haki na Katiba Mpya, Davido amesema atafanya hivyo kwenye shoo zake zote ili Dunia ijue unyama wa Samia. #MsiogopeTutashinda