Tunaomba tuwekewe CV ya huyu mtu maana mimi siku hizi mtu ambae hajasoma sheria akianza kuongeaongea kuhusu sheria naacha kumsikiliza mara moja maana huwezi ukazungumzia mambo ya sheria ikiwa wewe mwenyewe sheria hauzijui... unataka kutulisha matangopori? Ndio maana kesi nyingi tukishtakiwa nje tunachezea za mbavu.. mambo yenyewe ndio km haya“Yeyote anayekiuka sheria anapaswa kukamatwa na kushughulikiwa sawa. Si sahihi mtu mmoja avunje sheria na akamatwe papo hapo, halafu mwingine afanye hivyo hivyo aachwe aende zake,” alisema.
Waanze na yeye kwanza kumkamata kwa ufisadi na mauaji alioufanya na samuyaWaziri Mkuu wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mwigulu Nchemba, ameonya vikali kuhusu utekelezaji wa sheria kwa upendeleo, akisema tabia ya kuogopwa kwa baadhi ya watu na kuwawajibisha wengine pekee imeendelea kudhoofisha haki na uwajibikaji nchini. Amesema haiwezekani baadhi ya wakosaji kuchukuliwa hatua mara moja huku wengine wakiachwa bila madhara yoyote.
“Yeyote anayekiuka sheria anapaswa kukamatwa na kushughulikiwa sawa. Si sahihi mtu mmoja avunje sheria na akamatwe papo hapo, halafu mwingine afanye hivyo hivyo aachwe aende zake,” alisema.
Akizungumza Novemba 26, wakati wa uzinduzi wa Wiki ya Usafiri Endelevu ya kwanza nchini, Dkt. Mwigulu aliwakumbusha wataalamu na viongozi wanaoelewa sheria lakini wanazikwepa, huku akisisitiza umuhimu wa kuwalinda watumiaji wa usafiri kama waendesha bodaboda na bajaji ambao mara nyingi hawaelewi kikamilifu matakwa ya kisheria. Aliwataka viongozi kuacha matumizi ya adhabu za upendeleo na badala yake kutoa usaidizi unaoleta haki kwa wote
Kama kweli anamaanisha aanze kumkamata yule aliyesema atakata watu vichwa D9Waziri Mkuu wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mwigulu Nchemba, ameonya vikali kuhusu utekelezaji wa sheria kwa upendeleo, akisema tabia ya kuogopwa kwa baadhi ya watu na kuwawajibisha wengine pekee imeendelea kudhoofisha haki na uwajibikaji nchini. Amesema haiwezekani baadhi ya wakosaji kuchukuliwa hatua mara moja huku wengine wakiachwa bila madhara yoyote.
“Yeyote anayekiuka sheria anapaswa kukamatwa na kushughulikiwa sawa. Si sahihi mtu mmoja avunje sheria na akamatwe papo hapo, halafu mwingine afanye hivyo hivyo aachwe aende zake,” alisema.
Akizungumza Novemba 26, wakati wa uzinduzi wa Wiki ya Usafiri Endelevu ya kwanza nchini, Dkt. Mwigulu aliwakumbusha wataalamu na viongozi wanaoelewa sheria lakini wanazikwepa, huku akisisitiza umuhimu wa kuwalinda watumiaji wa usafiri kama waendesha bodaboda na bajaji ambao mara nyingi hawaelewi kikamilifu matakwa ya kisheria. Aliwataka viongozi kuacha matumizi ya adhabu za upendeleo na badala yake kutoa usaidizi unaoleta haki kwa wote
Wao maccm wamevunja Sheria nyingi za kuwabambikia chadema kesi za uongo waanze kushitakiwa ICC?Waziri Mkuu wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mwigulu Nchemba, ameonya vikali kuhusu utekelezaji wa sheria kwa upendeleo, akisema tabia ya kuogopwa kwa baadhi ya watu na kuwawajibisha wengine pekee imeendelea kudhoofisha haki na uwajibikaji nchini. Amesema haiwezekani baadhi ya wakosaji kuchukuliwa hatua mara moja huku wengine wakiachwa bila madhara yoyote.
“Yeyote anayekiuka sheria anapaswa kukamatwa na kushughulikiwa sawa. Si sahihi mtu mmoja avunje sheria na akamatwe papo hapo, halafu mwingine afanye hivyo hivyo aachwe aende zake,” alisema.
Akizungumza Novemba 26, wakati wa uzinduzi wa Wiki ya Usafiri Endelevu ya kwanza nchini, Dkt. Mwigulu aliwakumbusha wataalamu na viongozi wanaoelewa sheria lakini wanazikwepa, huku akisisitiza umuhimu wa kuwalinda watumiaji wa usafiri kama waendesha bodaboda na bajaji ambao mara nyingi hawaelewi kikamilifu matakwa ya kisheria. Aliwataka viongozi kuacha matumizi ya adhabu za upendeleo na badala yake kutoa usaidizi unaoleta haki kwa wote
Sheria ikifuata mkondo wake IGP na Polisiccm wote watakwenda jela kwa kuwapiga wananchi Risasi wakiwa majumbani mwaoNa walio vunja sheria za uchaguzi na kujipa uwaziri na ubunge na u rais wachukulie nn? Au wao wako juu ya sheria
RPC mlilo alitangaza maafa ya kuua watu mapema na kweli kawaua sheria ipo wapi? Mbona hajakamatwa?Mmevunja katiba ambayo ndo sheria mama
Mmeaua maelfu ya raia wenu na kuwapa kesi za uhaini
Mmebaka uchaguzi,mmeaua kuteka na kupoteza raia mchana kweupe
Kisheria unatakiwa uwe jela mda huu wewe na wenzio wotee
Anyway 9dec...
Utabiri wa marehemu Shekhe Yahya unaenda kutimia, utawala wa mabavu wa mkoloni Dikteta kaburu mama iddy Amin Dada toka Zanzibar atakimbia Nchi mda si mrefu na mwingulu ataishia jela za ICC The Hague huku uchaguzi ukirudiwa upyaHivi uyu Mwigulu anafikili ameisha yapatia ,mbona ngoma bado mbichi sana , mshaurini bado ngoma mbichi safari hii iyo tai ya bendera ya Taifa inaweza anza mkaba kila wakati
Hii inamhusu yule mzee wa kukata vichwa waandamanaji.Waziri Mkuu wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mwigulu Nchemba, ameonya vikali kuhusu utekelezaji wa sheria kwa upendeleo, akisema tabia ya kuogopwa kwa baadhi ya watu na kuwawajibisha wengine pekee imeendelea kudhoofisha haki na uwajibikaji nchini. Amesema haiwezekani baadhi ya wakosaji kuchukuliwa hatua mara moja huku wengine wakiachwa bila madhara yoyote.
“Yeyote anayekiuka sheria anapaswa kukamatwa na kushughulikiwa sawa. Si sahihi mtu mmoja avunje sheria na akamatwe papo hapo, halafu mwingine afanye hivyo hivyo aachwe aende zake,” alisema.
Akizungumza Novemba 26, wakati wa uzinduzi wa Wiki ya Usafiri Endelevu ya kwanza nchini, Dkt. Mwigulu aliwakumbusha wataalamu na viongozi wanaoelewa sheria lakini wanazikwepa, huku akisisitiza umuhimu wa kuwalinda watumiaji wa usafiri kama waendesha bodaboda na bajaji ambao mara nyingi hawaelewi kikamilifu matakwa ya kisheria. Aliwataka viongozi kuacha matumizi ya adhabu za upendeleo na badala yake kutoa usaidizi unaoleta haki kwa wote
Utabiri wa marehemu Shekhe Yahya unaenda kutimia, utawala wa mabavu wa mkoloni Dikteta kaburu mama iddy Amin Dada toka Zanzibar atakimbia Nchi mda si mrefu na mwingulu ataishia jela za ICC The Hague huku uchaguzi ukirudiwa upya
Huyu Mwigulu chemba ya choo nanadhani watanganyika ni wapumbavu sana..mwambieni kachelewa sana ...akawarubuni wapumbavu ...mwigulu ni muhalifu kama samia ...ana tapatapa bure kama speaker tulia .Waziri Mkuu wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mwigulu Nchemba, ameonya vikali kuhusu utekelezaji wa sheria kwa upendeleo, akisema tabia ya kuogopwa kwa baadhi ya watu na kuwawajibisha wengine pekee imeendelea kudhoofisha haki na uwajibikaji nchini. Amesema haiwezekani baadhi ya wakosaji kuchukuliwa hatua mara moja huku wengine wakiachwa bila madhara yoyote.