BARD AI
JF-Expert Member
- Jul 24, 2018
- 3,591
- 8,826
Endapo atashindwa kufanya hivyo, basi atapelekwa Mahakamani na hatua nyingine za Kisheria zitafuata
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hatutaona mwendelezo wa kesi watamalizana.Baada ya Mwemba Burton maarufu @mwijaku kusema na kuandika maneno ya udhalilishaji kwa msanii @mauasama hivi karibuni amejikuta akikalia kuti kavu baada ya Maua Sama kupitia Wakili wake, Claudio Msando kutoka kampuni ya Mawakili na Wanasheria ya Msando Law Office iliyopo Jijini Dar es Salaam – Tanzania, kumuandikia Mwijaku hati ya madai na kumpa Masaa 24 ya kujibu tuhuma hizo za udhalilishaji ikiwa ni pamoja na fidia ya Fedha za Kitanzania TZS Milioni 300.
Endapo atashindwa kufanya hivyo, basi atapelekwa Mahakamani na hatua nyingine za Kisheria zitafuata
Atalipiwa na Chama kubwaBaada ya Mwemba Burton maarufu @mwijaku kusema na kuandika maneno ya udhalilishaji kwa msanii @mauasama hivi karibuni amejikuta akikalia kuti kavu baada ya Maua Sama kupitia Wakili wake, Claudio Msando kutoka kampuni ya Mawakili na Wanasheria ya Msando Law Office iliyopo Jijini Dar es Salaam – Tanzania, kumuandikia Mwijaku hati ya madai na kumpa Masaa 24 ya kujibu tuhuma hizo za udhalilishaji ikiwa ni pamoja na fidia ya Fedha za Kitanzania TZS Milioni 300.
Endapo atashindwa kufanya hivyo, basi atapelekwa Mahakamani na hatua nyingine za Kisheria zitafuata
Mwarabu anagombewa 🐼Sujui wana ugomvi gani na huyo muimbaji Maua Sama hadi amtukane kiasi kile?Mdomo unaponza kichwa kinakong'ontwa.
Mwiba pale ulipoingilia ndio hapo hapo hutolewa. Kumalizana ni pamoja na kutumia hiyo hiyo njia aliyotumia kumchafua, kumsafisha.Hatutaona mwendelezo wa kesi watamalizana.
Alipe fidia pleaseMwiba pale ulipoingilia ndio hapo hapo hutolewa. Kumalizana ni pamoja na kutumia hiyo hiyo njia aliyotumia kumchafua, kumsafisha.