Mwijaku aandikiwa hati ya Madai ya Tsh. Milioni 300 kwa kumdhalilisha Maua Sama

Ilikuwaje mkuu?
 
hakuna aliye juu ya sheria.
mwijaku ndio nani?5
tena walitakiwa wamfungulie kesi ya jinai kama amedhalilisha mwanamke hilo ni kosa la jinai.
 
mimi kama dalali wa mahakama nasubiri amri ya kukamata toyota crown na nyumba nawasilisha.
mliofungua kesi tafadhali kueni makini yule chawa anaweza badilisha jina la hati ya nyumba kabla kesi haijaisha mimi nikose kazi ya kupiga mnada faida itakua ndogo sana kama nitafanya mnada wa toyota crown nawasilisha dalali wa mahakama ya kati.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…