Mwijaku afikishwa Kisutu na kushtakiwa kusambaza picha za utupu. Ashindwa kutimiza masharti ya dhamana

Hii ya kufikishwa Kortini maana yake ni kuwa Menina amethibitisha Mwijaku ndio anahusika na zile video, kuanzia kurekodi hadi kusambaza, kama sio yeye maana yake Menina angemtaja mtu mwingine huko polisi.
Shame on Clouds fm, kipindi cha Leo Tena wamekiharibu.
 
Wazee mnaofurahia mtu kuingia jela ni kwamba unaweza ukawa unacomment jf muda huu dk 20 mbele ukajikuta upo kituoni na ndani ukalala.

Kusema hayo haimaanishi kwamba naunga mkono alichofanya ila sioni logic ya kuchekelea mtu kulala ndani.
 
Siku zote humu huwa nawambia jela, selo haina mwenyewe hyo mwijaku mwenyewe alimponda idris
Alivyolala mahabusu, bora uncomment kitu kuliko kusambaza picha ya utupu ya mtu unayemfahamu

Ova
 
Wazee mnaofurahia mtu kuingia jela ni kwamba unaweza ukawa unacomment jf muda huu dk 20 mbele ukajikuta upo kituoni na ndani ukalala.

Kusema hayo haimaanishi kwamba naunga mkono alichofanya ila sioni logic ya kuchekelea mtu kulala ndani.
Boss kwa upande wangu nimekaa segerea miezi 2..hakuna anaependa mtu aende jela Ila tabia za huyo jamaa haziwezi mfurahisha mwanaume yoyote yule rijali..!

Muache aone joto la cello then akitoka atakua kajifunza kitu.
 
Hili la wadhamini limekaaje? Tz mbona ina mambo ya ajabu? Sipati taswira ya hakimu anayetaka sharti la ajabu kiasi hiki!. Kwa nini asingeoewa nafasi ya angalau mwajiri wake awe mmoja wa wadhamini?
 
Hao ndo wagombea wa CCM,yeye na Gwajima wazee wa viuno feni
 
Boss kwa upande wangu nimekaa segerea miezi 2..hakuna anaependa mtu aende jela Ila tabia za huyo jamaa haziwezi mfurahisha mwanaume yoyote yule rijali..!

Muache aone joto la cello then akitoka atakua kajifunza kitu.
Duh huko kwenda hakuna formula mzee
Ila Hawa jamaa wamejaa na dharau kiburi
Umaarufu wake Labda alijua huko mahakamani watamshobokea
Kesi hiyo tu ukiangalia alikuwa anaichukulia poa tu
Wakati ukiwa na kesi na ikifika mahakamani hutakiwi kuleta dharau

Ova
 
Labda alipoona wale wasanii akina nandy na yule mwenzake wameponea tundu la sindano akaona kumbe siyo ishu.
 
Wazee mnaofurahia mtu kuingia jela ni kwamba unaweza ukawa unacomment jf muda huu dk 20 mbele ukajikuta upo kituoni na ndani ukalala.

Kusema hayo haimaanishi kwamba naunga mkono alichofanya ila sioni logic ya kuchekelea mtu kulala ndani.
Mimi kwa akili zangu siwezi sambaza picha za manzi niliyelala naye. Huyu jamaa ni popoma na alitakiwa kuwa boycotted na media zote, akose followers na asihusishwe na kazi zozote za kisanaa. Upuuzi aliofanya ni wa viwango vya lami, mshamba mkubwa.
 
Boss tusubiri ushahidi. Ana vitabia vya hovyo hovyo kiukweli hasa vya kuongelea kila jambo ila ngoje tuone kama ana hatia kupitia ushahidi.

Also motive ya kusambaza hizo picha ni vyema tukaijua.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…